WANANCHI WATAKA KUELIMISHWA KABLA YA MAONI YA KATIBA.

Na  Noel  Stephen  -mpwapwa 19,05,2012

 Wanachi   jimbo la kibakwe wialayani mpwapwa  wameomba  swala  la ushiriki na ushirikishwaji  wa wananchi katika mchako wakatiba  lazima upewe kipaumbele ili kuweza kupata katiba yenye matakwa  ya weanachi wote hapa nchini.

Wito  huo umetolewa  jana na wananchi wa jimbo la kibakwe  wilayanoi mpwapwa katika mdahalo wa katiba  ulio fanyika  katika ukumbi wa muleba , na uliandaliwa na mtandao wa mashiriaka yasiyo kuwa ya kiserikali wilayani mpwapwa NGOMNET(Non governmental oganazationMpwapwa nert work)

 Wakitoa maoni yao katika mdahalo huo wananchi hao walisema kuwa  mchakato wa kuwa na katiba mpya  ni mkubwa na  tena umechelewa  mno  hivyo  vingozi wanatakiwa  kutoa kwanza elimu ya uraia  kuhusu haki ya binadamu na katiba ya nchi  ili kujenga Taifa lenye kuwajibika na kujua haki na wajibu wao kwa serikali yao  na haki zao za msingi.

 Akiongea nmmoja wa wachangiaji  ambae ni diwanmi viti maluumau  Bi  Pamela  Mnemele alisema kuwa  elimu ya uraia juu ya katiba  ni  ni dai la msingi  ili kuweza kuleta  ushirikishwaji  mpana  wa wananchi katika kujadili mambo muhimu  ya kimaendeleo katika katika  maeneo yao hususani mambo ya ardhi na kilimo chenye tija tanzani kwa kumjali mkulima mdogo wa pembezoni.

Aidha akiongea juu ya muungano wa Tanzania na Zanzibar  mwalimu Kelvin Haule alisema kuwa  mchakato wa katiba uwe ni fulsa ya  tiba (mwarobaini) kwenye suala  muungano wa Tanzania .

Pia walisema kuwa  katiba ya sasa  tanggu uhuru imebadilishwa mala kumi na  na  nne bila kuwahusisha wananchi ambao ni ndio walipaswa kubadilisha katiba hiyo.

Hivyo walidaia kuwa katiba  mpya itakapo  patikana isibadilishwe kipengele chochote mpaka  kuwepo na ridhaa ya wanachi wote tofauti na  katiba ya sasa aliyo kuwa  ikibadilishwa kwa maslahi ya chama tawala  au kuwabeba  baadhi ya vingozi wa ganzi ya juu  serkalini.

Akiwasilisha  mada ya dhana ya katiba Bwana ENOCK KIJO kutoka jukwaa la katiba nchini alisema kuwa katiba ndio huitoa mstakabali wanchi  njisi inavyo takiwa iwe ,na ijingozeje, na mamlaka ya kuongoza nchi hutoka  mikon I  wa wananchi  na sio mikanoni mwa wananchi.

Alisema kuwa katiba ili iweze kuwa katiaba lazima iwe na misingi mikuu mitanoa ambayo aliisema kuwa nilazima  iandikwe na wananchi na sio kundi dogo la wananchi kama ilivyo fanya katika katiba tuliyo kuwa nayao ambayo alisema kuwa iliandikwa na wananchi ishirini ikiongozwana mzee Thabit kombo  na PIUS MSEKWA akiwa akitibu wake..

Tena mchakato wa katiba lazima uwe na mafanano wa pekee wa  nchi husika.

Comments

Popular posts from this blog

DC KIZIGO ATOA MAAGIZO KWA KWA MAAFISA ELIMU KUKABILIANA NA UKATILI MASHULENI.

HISTORIA YA MPWAPWA HATARINI KUTOWEKA

KIZIGO AWAPONGEZA RUWASA,AKERWA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA,AWATAJA MADIWANI.