MAANA YA JINA MPWAPWA

Jina MPWAPWA ni MHAMVWA ambalo lilikuwa halisi kwa wenyeji  WAGOGO na  Korongo  linalotokea  KIkombo  kuelekea  hadi sehemu inayoitwa  KWAMSHANGO, Wajerumani walipo ingia  katika Nchi hii  walishidwa  kutamka  jina  MHAMVA(mamva)  wakaita  MPAPUA  Waimgeleza  nao  katika  butawala  wao  walisdhidwa   kutamka  neno MPAPUA  Wakaita  MPWAPWA.

   Wilaya ya mpwapwa ni miongoni wa mwa  Wilaya  6sita  za mkoa wa DODOMA  na  inakadiliwa kuwa na wakazi wapatao 296,966, wenye  shughuli za kiuchumi  za Kilimo cha Mtama  Mahindi , Karanga  na ALIZETI, Ufugaji  kama NG,OMBE za kienyeji  Mbuzi Kondoo, na KUKU ,Ambapo  wakazi  wake ni  wa makabila ya  WAGOGO,WAHEHE,WASAGARA,WAKAGURU,na WABENA .

      Mpwapwa ipo  umbali wa  km 120  kutoka  yalipo makao makuu ya  Mkoa wa DODOMA  na umbali wa  km 60 toka inapopita  barabara kuu ya lami DODOMA –DAR-ES-SALAAM  (MBANDE)

Comments

Popular posts from this blog

DC KIZIGO ATOA MAAGIZO KWA KWA MAAFISA ELIMU KUKABILIANA NA UKATILI MASHULENI.

HISTORIA YA MPWAPWA HATARINI KUTOWEKA

KIZIGO AWAPONGEZA RUWASA,AKERWA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA,AWATAJA MADIWANI.