Posts

Showing posts from June, 2023

TAFITI ZITUMIKE KUONDOA CHANGAMOTO KATIKA JAMII. DC kizigo Mpwapwa.

Image
   Na Mwandishi wetu.Mpwapwa. Serikali imeobwa  kuzitumia tafiti mbalimbali zinazofanywa na tasisi mbaliimbali hapa nchini  Katika kupata majawabu ya changamoto zinaikabili  Jamii yetu Kwa Sasa . Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Bi Sophia kizigo  akihutubia muhadhara katika Uzinduzi wa Utafiti uliofanya na shirika la RELI. Katika utafati uliofanywa  katika wilaya ya Mpwapwa na shirika lisilo kuwa la kiserikali la   RELI   ambalo liliangazia  Katika masuala ya  kiwango cha uelewa wavijana Katika  viwango mbalimbali   ambapo utaffiti ulibaini  kati ya vijana 10 ni vijana wanne waliweza kuwa na uelewa wa kiwango cha Moja cha utatuzi wa changamoto amabacho ni kiwango cha chini kabisa. Katika masuala ya kujitambua  utafiti ulibaini  asilimia kubwa ya vijana walionekana Kati ya vijana 10 ni vijana 5  walionekana kujitambua na Katika suala la heshima  ilibainisha asilimia 49.9% ya vijana  Wana heshima. A idha utafiti huo ulilenga kuanzia masuala makuu mnne ambayo  ilikuwa ni kuangalia ulewa wa vijan