Posts

VIJANA 4800 WAWEZESHWA MITAJI NA SHIRIKA LA BRAC MAENDELEO DODOMA

Image
DODOMA, Afisa tarafa ya Mpwapwa Bwana Obert Mwalyego  akimkabidhi mmoja wa wanufaika wa vifaa vya kufanyia kazi  vifaa vya saloon. IMEELEZWA kuwa umaskini wa kipato  ni Moja wapo ya yanzo vikuu vya wasichana wengi  kufanyiwa ukatili wa kijinsia ndani ya jamii   tunamo ishi. Kauli hiyo   imetolewa  na kaimu Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa ambae ni katibu tarafa  wa tarafa ya Mpwapwa Bwana Olbert Mwalyego  wakati wa sherehe za kukabithi vifaa vya kufanyia kazi Kwa  Mabinti barehe ambao walipatiwa mafunzo ya ujasilia Mali na kufuzu mafunzo hayo na shirika la black maendeeo. Mwalyego amesema Kwa Sasa kundi kubwa linalo jikuta likiathiriwa na masuala ya ukatili wa kijinsia  ni kundi la vijana na Mabinti barehe ambao wengi wao ambao hawana ajira."ukweli ni kwamba tafiti mbalimbali zinadai kuwa moja wapo ya vyanzo vya ukatili ni umaskini wa kipato unaotokana na vijana wengi kukosa mitaji ya kufanyia kazi hivyo nawapongeza sana Black maendeleo  kwa kuwapatia vitendea kazi  mabinti

KIZIGO AWAPONGEZA RUWASA,AKERWA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA,AWATAJA MADIWANI.

Image
 Mpwapwa. Habari. Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Bi Sophia Kizigo  akiongea kwenye mkutano kazi wa RUWASA na wadau wa maji uliofanyika katika ukumbi wa chuo cha Afya.(picha na Emanuel Uronu(Vaino) Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa mkoa wa Dodoma Bi Sophia Kizigo  amezitaka jumuiya za watumia maji  kuweza kuunganisha nguvu  za jumuiya moja na nyingine ili kuweza kutoa huduma   bora  kwa wananchi. Kizigo ametoa Rai  hiyo wakati wa kikao kazi cha wadau wa maji kilichofanyika katika ukumbi wa chuo cha Afya mjini hapa   kilicho wajumuisha  Viongozi wa jumuiya za watumia maji  watendaji wa kata na vijiji napamoja na  madiwani wa kata husika , Kizigo amesema pamoja na serikali ya awamu ya sita kuweka dhamira thabiti ya kumtua  mama ndoo kichwani  lakini bado  jamii husika imeendelea   na uharibifu wa mazingira unaotishia uendelevu wa miradi mikubwa ya maji  inayowekezwa na serikali. Kupitia changamoto hiyo  ametoa siku 14 kwa madiwani wote wanasiasa na baadhi ya watendaji wa kata na vijiji wanaowakingia 

TAFITI ZITUMIKE KUONDOA CHANGAMOTO KATIKA JAMII. DC kizigo Mpwapwa.

Image
   Na Mwandishi wetu.Mpwapwa. Serikali imeobwa  kuzitumia tafiti mbalimbali zinazofanywa na tasisi mbaliimbali hapa nchini  Katika kupata majawabu ya changamoto zinaikabili  Jamii yetu Kwa Sasa . Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Bi Sophia kizigo  akihutubia muhadhara katika Uzinduzi wa Utafiti uliofanya na shirika la RELI. Katika utafati uliofanywa  katika wilaya ya Mpwapwa na shirika lisilo kuwa la kiserikali la   RELI   ambalo liliangazia  Katika masuala ya  kiwango cha uelewa wavijana Katika  viwango mbalimbali   ambapo utaffiti ulibaini  kati ya vijana 10 ni vijana wanne waliweza kuwa na uelewa wa kiwango cha Moja cha utatuzi wa changamoto amabacho ni kiwango cha chini kabisa. Katika masuala ya kujitambua  utafiti ulibaini  asilimia kubwa ya vijana walionekana Kati ya vijana 10 ni vijana 5  walionekana kujitambua na Katika suala la heshima  ilibainisha asilimia 49.9% ya vijana  Wana heshima. A idha utafiti huo ulilenga kuanzia masuala makuu mnne ambayo  ilikuwa ni kuangalia ulewa wa vijan

DC KIZIGO ATOA MAAGIZO KWA KWA MAAFISA ELIMU KUKABILIANA NA UKATILI MASHULENI.

Image
  Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Bi Sophia Kizigo akifungua kikao   cha wadau wa Ulinzi dhidi ya Mtoto na ukatili wa kijinsia kilicho wezeshwa na Jukwaa la utu wa Mtoto CDF wilayani Mpwapwa.   Mkurugenzi Mtendaji wa  Shirika la utu wa Mtoto CDF Koshuma Mtengeti akichangia jambo  katika kikao cha kujadili ulinzi wa Mtoto wilayani Mpwapwa.   Stephen Noel-Mpwapwa.   Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma Bi Sophia Mfaume Kizigo ametoa  amri kwa maafisa Elimu wote ndani ya wilaya hiyo kuhakikisha shule zote za Msingi na sekondari zinakuwa na walimu walezi kwa lengo la kupunguza vitendo vya ukatili kwa watoto wawapo shuleni. Mkuu wa wilaya hiyo ametoa agizo hilo kwenye mkutano wa Siku moja uliondaliwa na Asasi ya kiraia jukwaa la utu wa mtoto  CDF  iliyo kutanisha Wadau wote wanao fanya  afua za kumlinda mtoto na kujali ustawi wa mtoto. Amesema Ili kuhakikisha watoto wanakuwa Kwenye mazingira ya usalama lazima kunakuwapo na  watu wanao ratibu  kero zinazo wakabili watoto au pindi wafanyiwapo uk

UMOJA WA WANAWAKE MPWAPWA WASAIDIA MADAWATI SHULE YA MSINGI VIGH'AWE .

Image
Kamati ya maandalizi ya Umoja wa  wanawake Wilaya ya Mpwapwa wakimuonyesha  Mgeni Rasmi moja ya dawati walilo tengeneza kwa ajili  ya  wanafunzi wa Shule  ya Msingi Vigh'awe waliokuwa wakisoma huku wakiwa wanakaa chini kwenye Sakafu.   Mgeni Rsmi Bwana Leo Mzeru  katika kwenye  sherehe ya maombi ya wanawake wa Kikiristo  Mpwapwa. Maandamo ya wanawake  katika viunga vya mji wa Mpwapwa kwenye sherehe za siku ya mwanamke Duniani, Na Stephen Noel- MPWAPWA  WANAWAKE WASAIDIA  WANAFUNZI WALIOKUWA WAKISOMA HUKU WAMEKAA CHIN I Wanawake wakikiristu wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wameeaswa kuwa pamoja na kupambana na changamoto za kujikwamua kiuchumi laknini wasisashau majukumu yao ya kijinsia kama kulea na kunyonyesha watoto. Kauli hiyo imetolewa na mchungaji Nowadia zaidi kwenye mahubiri yake alipokuwa akiwahubiria akina wanawake kwenye sherehe za maombi ya umoja wa wananwake wa wakristu Mpwapwa iliyofanyika katika kanisa la watakatifu wote Anglikana Vigahwe.  Amesema pamoja na kupambana n

NESI AMBAKA MGONJWA AKIWA WODINI MPWAPWA.

Image
  JESHI la polisi wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma limempandisha kizambani Bwana Athuman Kulwa (22) Kwa tuhuma za kumbaka Mgonjwa akiwa wodin. Mtuhumiwa huyo amefikishwa mbele ya hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya wilaya Nurupedesia Nassary akikabiliwa na kosa la kubaka . Akisomea shitaka lake mwendesha mashitaka wa polisi Bwana William Mwita aliiambia mahakama kuwa mtuhumiwa huyu alitenda kosa hilo kinyume na kifungu namba 130kifungu kidogo (1) na cha (2)e na kifungu cha 131 kifungu kidogo (1) cha kanuni ya adhabu iliyofanyiwa malejeo mwaka 2919. Mwita aliiambia mahakama kuwa mtuhumiwa huyo alifanya kosa Hilo Juni 25 mwaka huu majira ya alfajiri katika wodi ya wogonjwa Katika hospitali ya wilaya ambapo alimbaka Eva Robert (40)Katika hospital ya Mpwapwa na mkoa wa Dodoma. Kwa upande wa mtuhumiwa aliikanusha shitaka lake na mwendesha mashitaka wa polisi aliiambia mahakama kuwa upepelezi wa kesi hiyo bado hivyo mahakaman ipange siku nyingine ya kutajwa. Kesi hiyo namba 109 ya mwaka 2022

SERIKALI YAANZISHA BARAZA LA ARDHI MPWAPWA KUPUNGUZA MIGOGORO..

Image
KUTOKANA na kuwepo Kwa migogoro mingi ya Ardhi Katika wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma Serikali inatarajia kuanzisha Baraza la Ardhi la wilaya ili kuweza kupunguza migogoro hiyo kwa Wakati. Aki zingumza na mwandishi wa habari ofisin kwake kwa mahojiano maluum afisa Ardhi na mali asili wa wilaya hii Anderson Mwamengo amesema kuwa wilaya ya Mpwapwa ni miongoni mwa wilaya zinazo kabiliwa na migogoro mingi ya ardhi inayosababisha baadhi wa watu kuuwana .   Mwamengo amesema kufuatia hali  Serikali kupitia wizara husika inatarajia kuanzisha kwa Baraza la Ardhi kuanzia mwaka mpya wa Fedha "na tayari hatua za awali zimekamilika ikiwemo kuwateuwa wajumbe na mwenyekiti wa Baraza na miundo mbinu ikiwemo Baraza litakapo kuwepo. Alidai Kwa miaka mimwili mfululizo wamesajili zaid ya migogoro mia moja ya ardhi kutoka Katika maeneo tofauti ya wilaya "na migogoro hiyo mingi ilikuwa inasababishwa uelewa mdogo wa jamii juu umiliki pia baadhi ilikuwa inasababishwa na baadhi ya wajumbe wa