Posts

Showing posts from April, 2020

WALIMU WATOA MSAADA KWA DC WA KUJIKINGA NA CORONA.

Image
MPWAPWA. Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Jabir Shekimweri akipokea ndoo za maji Tiririka   kutoka kwa katibu wa Umoja wa walimu ambao  ni wanachama wa CCM. UMOJA wa walimu wilayani Mpwapwa ambao ni wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamekabidhi vifaa vya   kuji ki nga   na ugonjwa wa COVID 19 unaosabishwa na v irusi vya CORONA kwa mkuu wa wilaya hiyo. Vifaa hivyo vimepokelewa na mkuu wa wilaya ya Mpwapwa. Katibu wa umoja huo   Mwl Nelson Nyaombo a me sema wameamua kufanya hivyo hili kuweza kuungana mkono na serikali katika jitihada kubwa wananazozifanya za mapambano dhidi ya Covid 19 hapa nchini na   ndani ya wilaya . M wl Nyaombo a me sema   vifaa walivyotoa ni ndoo 25 za maji tiririka   zenye thamani ya shilingi 300,000/=(laki tatu) ambazo serikali zitatoa muuongozo   njisi gani zitagawiwa .   A me sema walimu wananafasi kubwa   ya kuelimisha jamii   kwa njia ya   vitendo    kwa kuweza   kutoa walicho nacho   ili kuweza kusaidia watu ambao hawana   uw

WAZIRI ZUNGU AWAPA MATUMANI WANA MPWAPWA.

Image
Waziri  wa mazingira  ofisi ya makamu wa Rais (M) na Mazingira Musa Azzan Zungu akielekea katika korongo la Shaban Robert  kuangalia uharibifu iliosababishwa na  korongo hilo(picha na Mpwapwa habari) WAZIRI mazingira   ofisi ya   makamu ya Rais Muungano na   na Mazingira Mussa Zungu(MB) amesema wizara yake kwa mwaka wa Fedha 2020/2021 imetenga kiasi cha shilingi   billion 17.4 kwa ajili ya kupambana na uharibifu na mabadiliko ya Ikolojia. Waziri Zungu ameyasema hayo   wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma   alipokuwa kwenye ziara ya kikazi siku   ya moja ya kuona uharibifu wa mazingira   na uharibifu wa Korongo la Shaban Robert linalotishia maisha   ya wakazi wa wilaya hiyo   na miundo mbinu . Waziri   Zungu   amesema pamoja na mabadiliko ya tabia ya Nchi   lakini shughuli za kibinadamu    zimeiweka Mpwapwa   kuwa katika hali mbaya ya Kimazingira. “ Ofisini kwangu   kuna taarifa ya hili korongo    kuwa linatishia usalama wa maisha na makazi ya watu   pamoja na miundo mbinu ik

WATU WAWILI WAFA MAJI GULWE MTU NA MJOMBA YAKE

Image
 MPWAPWA -GULWE AJALI   Daraja la Gulwe walipokuwa wakioga hao Marehemu   WATU wawili Wakazi wa kijiji cha Gulwe wamefariki kufatia  kusobwa na maji   baada ya kudumbukia mtoni walipo kuwa wakioga   katika mto. Tukio hilo limetokea katika mto kinyasugwi   katika Kata ya Gulwe   wilaya ya Mpwapwa na mkoa wa Dodoma . Akielezea tukuio hilo Shuhuda wa Tukio hilo na diwani wa Kata ya Gulwe Bwana Gabriel Kazige   aliwataja watu wanaosadikiwa kufa maji kuwa ni Safari Matia(38)   na Maduo Msagati (12) mtu na mjomba   yake   wote wakazi wa Gulwe.   Wananchi wa kijiji cha Gulwe wakiwa Msibani baada ya kuupata miili ya marehemu. Aidha Bwana Bwana Kazige amesema   marehemu hao waleenda kuoga mtoni na ndipo   alipodumbuki kwenye maji     na mjomba mtu alipokuwa akitaka kumuokoa   “ wote wawili walizidiwa na maji   na kusobwa   nakufariki. Mhe Diwani alidai miili yote ya marehemu imepatikana na wanafanya mandalizi ya mazishi . Pia shuhuda mwingine wa tukio aliyejita