Posts

Showing posts from 2024

VIJANA 4800 WAWEZESHWA MITAJI NA SHIRIKA LA BRAC MAENDELEO DODOMA

Image
DODOMA, Afisa tarafa ya Mpwapwa Bwana Obert Mwalyego  akimkabidhi mmoja wa wanufaika wa vifaa vya kufanyia kazi  vifaa vya saloon. IMEELEZWA kuwa umaskini wa kipato  ni Moja wapo ya yanzo vikuu vya wasichana wengi  kufanyiwa ukatili wa kijinsia ndani ya jamii   tunamo ishi. Kauli hiyo   imetolewa  na kaimu Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa ambae ni katibu tarafa  wa tarafa ya Mpwapwa Bwana Olbert Mwalyego  wakati wa sherehe za kukabithi vifaa vya kufanyia kazi Kwa  Mabinti barehe ambao walipatiwa mafunzo ya ujasilia Mali na kufuzu mafunzo hayo na shirika la black maendeeo. Mwalyego amesema Kwa Sasa kundi kubwa linalo jikuta likiathiriwa na masuala ya ukatili wa kijinsia  ni kundi la vijana na Mabinti barehe ambao wengi wao ambao hawana ajira."ukweli ni kwamba tafiti mbalimbali zinadai kuwa moja wapo ya vyanzo vya ukatili ni umaskini wa kipato unaotokana na vijana wengi kukosa mitaji ya kufanyia kazi hivyo nawapongeza sana Black maendeleo  kwa kuwapatia vitendea kazi  mabinti