Posts

Showing posts from March, 2023

UMOJA WA WANAWAKE MPWAPWA WASAIDIA MADAWATI SHULE YA MSINGI VIGH'AWE .

Image
Kamati ya maandalizi ya Umoja wa  wanawake Wilaya ya Mpwapwa wakimuonyesha  Mgeni Rasmi moja ya dawati walilo tengeneza kwa ajili  ya  wanafunzi wa Shule  ya Msingi Vigh'awe waliokuwa wakisoma huku wakiwa wanakaa chini kwenye Sakafu.   Mgeni Rsmi Bwana Leo Mzeru  katika kwenye  sherehe ya maombi ya wanawake wa Kikiristo  Mpwapwa. Maandamo ya wanawake  katika viunga vya mji wa Mpwapwa kwenye sherehe za siku ya mwanamke Duniani, Na Stephen Noel- MPWAPWA  WANAWAKE WASAIDIA  WANAFUNZI WALIOKUWA WAKISOMA HUKU WAMEKAA CHIN I Wanawake wakikiristu wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wameeaswa kuwa pamoja na kupambana na changamoto za kujikwamua kiuchumi laknini wasisashau majukumu yao ya kijinsia kama kulea na kunyonyesha watoto. Kauli hiyo imetolewa na mchungaji Nowadia zaidi kwenye mahubiri yake alipokuwa akiwahubiria akina wanawake kwenye sherehe za maombi ya umoja wa wananwake wa wakristu Mpwapwa iliyofanyika katika kanisa la watakatifu wote Anglikana Vigahwe.  Amesema pamoja na kupambana n