KENYA WALEKEBISHA KOZI ZAO ZA JUU KUENDANA NA MALENGO YA MAENDELEO

Mei 29, 2012
Taasisi za elimu ya juu za Kenya zinahitaji kurekebisha kozi zao kulingana na malengo ya ajenda ya maendeleo ya Kitaifa kama Dira ya 2030 itafanikiwa, wataalamu wasema.
  • Wanafunzi wa Kenya wakisikiliza hotuba ya mahafali wakati wa sherehe ya mahafali katika Chuo Kikuu cha Kenyata jijini Nairobi. [Pedro Ugarte/AFP]    Wanafunzi wa Kenya wakisikiliza hotuba ya mahafali wakati wa sherehe ya mahafali katika Chuo Kikuu cha Kenyata jijini Nairobi. [Pedro Ugarte/AFP]
Dira ya 2030 ni mpango wa maendeleo wa Kenya wa kuiondoa nchi hii kutoka kwenye uchumi wa kipato cha kati kwa kuendeleza sekta ya miundombinu na utengenezaji, miongoni mwa sehemu nyingine.
Simon Gicharu, mwazilishi na mwenyekiti wa Chuo Kikuu cha Mount Kenya, asema utoaji wa wahitimu wakiwa na ujuzi wa vitendo usiotosheleza utaleta athari hasi kwenye kutafuta kwa Kenya kuwa nchi yenye nguvu ya kiviwandani kwa miaka 18 inayokuja.
“Ni kwa kusisitiza sayansi tu, teknolojia na uvumbuzi nchi itaweza kufanikisha ndoto ya Dira ya 2030,” Gicharu aliiambia Sabahi. “Hii ina maana kuwa vyuo vikuu na taasisi nyingine za elimu ya juu lazima zitengeneze kozi zake kwa namna ambayo itapeleka mbele utaalamu ambao utachukua jukumu katika sekta kuu kama vile uhandisi, utafiti wa kisayansi na maeneo mengine ya kiufundi”.
Gicharu alisema baadhi ya vyuo vikuu vya Kenya vinatoka nje ya programu thabiti za kitaaluma zikilenga kwenye sayansi na teknolijia, badala ya kuongeza uwekezaji katika programu za sanaa na sayansi za jamii.
Wakati ukuaji wa taasisi binafsi ni ishara chanya kwa nchi hii, alisema vyuo

Comments

Popular posts from this blog

DC KIZIGO ATOA MAAGIZO KWA KWA MAAFISA ELIMU KUKABILIANA NA UKATILI MASHULENI.

HISTORIA YA MPWAPWA HATARINI KUTOWEKA

KIZIGO AWAPONGEZA RUWASA,AKERWA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA,AWATAJA MADIWANI.