Posts

Showing posts from April, 2012

WAMUZI WA RAIS KUBADILISHA BAADHI YA WATENDAJI WABOVU.

NDugu zangu WATANZANIA wezangu mimi binfsi mimi binfsi napenda kumpongeza rais wa Jamhuri ya muungano wa TANZNIA kkwa uwamuzi alio uchukua kuwabadilisha baadhi ya watendaji wabovu kwenye wizara mbalimbali,lakini je ni muda muafaka kwa raisi kulifanya hili,au ndo aagundua hili,au alikuwa bado mpaka apigiwe kelele na wananchi, je katika hili RAISI KUFUATA MISINGI YA UTAWALA BORA. naomba maoni yako asante.

test two

Image
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

WAMACHINGA WA KIMASAI

Image
Bidhaa za wafanyabiashara wa kimasai TATIZO la wafanyabiashara ndogo ndogo mjini Dodoma , limekuwa ni mzigo mkubwa kwa wafanyabishara hao kutokana na kushindwa kufanya biashara hizo kwa kusumbuliwa na uongozi wa Manispaa.   Wakizungumza na waandishi wa habari ,wafanyabiashara hao ambao wanafanya biashara zao katika eneo la viwanja vya mashujaa mjini hapa wafanyabishara hao walisema kuwa hiyo ni changamoto kubwa kwao kwani hawajui pa kwenda wao pamoja na familia zao.   Mmoja wa wafanyabiashara hao,Musa Mollel alisema kuwa ni vema Serikali iwatafutie eneo maalum ama iwahalalishie eneo wanalofanyia biashara kwa sasa ili walipe ushuru na kuiongezea serikali mapato.   Mollel alisema kuwa, hata wao wanaweza kujenga vibanda vyao vya biashara kama watahalalishiwa eneo hilo ili kuepukana na jua na mvua ambavyo ni changamoto katika biashara zao pamoja na adha ya kufukuzwa kila mara na mgambo wa Manispaa.   “Hapa tunashindwa kujenga vibanda kwa sababu manispaa wanatukuza,lakini kama wak

mmoja wa wandishi wa habari wagazati la Tanzania daima akiwa kazini.

Image
Image
  hali halisi ya stendi ya daladala ya jamatin Dodoma mvua inaponyesha. LICHA ya Manispaa ya Dodoma kukusanya shilingi milioni 163,620,000 kwa mwaka katika kituo cha daladala cha Jamatin, bado kituo hicho kimejaa mashimo na takataka kiasi cha kuwa ni kero kwa wasafiri na kusababisha adha kubwa.  Waandishi wa habari waliotembelea eneo hilo wamejionea uchafu na mashimo makubwa katika kituo hicho huku baadhi ya watu wakielndelea kulalamika kuwa wanapata kero kubwa. Mwenyekiti wa chama cha wamiliki wa daladala mkoani Dodoma(Uwedo), Ibrahimu Mohamed, amesema kituo hicho kina jumla ya daladala 889 na kati ya hizo 20, hiace. Mwenyekiti huyo alisema gari hizo zinakusanya ushuru wa Sh 500 kwa daladala na hiace zinatozwa sh 100 kwa kila siku lakini hawajui fedha hizo zinepelekwa wapi. Mohamed amesema kituo hicho ni kibovu na kinahitaji ukarabati mkubwa lakini tangu mwaka 2003 amekuwa akiufuata uongozi wa Manispaa kuhusu kufanya ukarabati lakini mpaka leo bado wanatoa majibu kuwa w

ujasiriamali Dodoma

Image
UJASIRIAMALI , Aprili 27, 2012 DODOMA: Ukosefu wa mafunzo ujasiriamali kwa vijana wengi nchini umeonekana kuchangia vijana wengi kuwa tegemezi na wengine   kujiingiza katika ajira zisizo rasmi ili waweze kujikimu. Kutokana na hali hiyo vijana wengi wamekuwa wakitangatanga na kuzurura huku baadhi yao wakiingiza katika ajira zisizo rasmi ambapo wamekuwa wakijihusisha na biashara haramu za kuuza na kutumia madawa ya kulevya na wakati mwingine hujihusisha na biashara ya ngono. Baadhi ya vijana wanalazimika kujitumbukiza katika ajira ambazo siyo rasmi na zenye kipato duni kama anavyoeleza Nicolous Machimo, mjasiriamali anayeendesha mradi wa Babalishe katika eneo la Eneo la Makole, Manispaa ya Dodoma. Machimo anaeleza kuwa eneo lake la mradi huo siyo rasmi na kwamba mamlaka ya manisaa ya Dodoma imekuwa kero kubwa kwa huduma hiyo inayomwingizia kipato na kuondokana na umaskini. Amesema vijana wengi wamekosa ujuzi na mafunzo ya ujasiriamali na kwamba upatikanaji wa mitaji ni tatizo kubwa k

waandishi wa habari Dodoma cpc

Image

WAKRISU WAASWA KUMRUDIA MUNGU.

Na   noel Stephen mppwapwa   habari za kanisa   Wakristu   parokiani mpwapwa wameaswa kumuonyesha yesu mfufuka kwa kuikaribia skramenti ya   kitubio kama alivyo fanya petro.   Wito huo umetolewa na padri   GODIAN   SEPINGE kwenye juma pili ya tatu ya pasaka parokiani hapo alipokuwaakihubiri kwenye misa hiyo mjini mpwapwa.   Padre Sempinge alisema mama kanisa anatuasa   kumdhihirhsa kristu katika maisha yetu ya kila siku kwa kuijongea sakramenti ya toba   kama mtume petro alivyo fanya kwa kumakana yesu   na badae aliweza kujirudi na kumrudia na kutangaza habari za ufuko wake. Aidha padre Sempinge alisema   haitoshi kwa mkristu au   kuwa mwanakwaya,moyo mtakatifu wa yesu ,au rejio maria   bila kuwa na maisha ya toba   ya kumdhihirisha   kristu mfufuka   kwa jamii inayo kuzunguka kwa kitenda matendo mema . Pia alisema kuwa wakristu wa siku hizi hufuata   imani za miujiza   na kuchana na imani za kweli ambazo alisema kuwa ni tatizo kubwa ambalo linakaibili dunai kw

mradi wa maji wa milion127.5watoa huduma siku tatu na kuharibika.

katika hali isiyokuwa ya kawaida mradi wa maji katika kata ya vighawe wilayani mmpwapwa  mkoa wa dodoma  ulio gharimu jumla ya shilingi  milioni 127.5 watoa huduma siku tatu na kuharibika.

test

Image
tttttttttttttt