DR ,ULIMBOKA AOKOTWA PORINI AKIWA HOI.

1digg
Dk Ulimboka
Mwenyekiti wa Jumuiya ya madaktari  nchini, Dk Stephen Ulimboka amelazwa katika hospital ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuokotwa katika pori la Pande nje kidogo ya jiji akiwa taaban.Inasemekana Dk Ulimboka alitekwa jana na watu wasiojulikana.
 kwa taarifa zaidi soma gazeti la mwananchi kwa taarifa zaidi.

Comments

  1. hivi ndo tuseme nchi hii ina amani? amani iko wapi , tunakutaka wqaziri wa mambo ya ndani na waziri wa afya hili swala lifanyieni uchunguzi wa kina bila hivyo ninyi wenyewe ndo mmefanya hiyo inshu, lakini matokeo yake utayaona mbele twendee tuuuuu

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

DC KIZIGO ATOA MAAGIZO KWA KWA MAAFISA ELIMU KUKABILIANA NA UKATILI MASHULENI.

HISTORIA YA MPWAPWA HATARINI KUTOWEKA

KIZIGO AWAPONGEZA RUWASA,AKERWA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA,AWATAJA MADIWANI.