Wananchi wa NDUGA  kata ya Nduga wakionyeha Mabango juu wA mgogoro Wa  Ardhi katika kijiji hicho.
Mkutano ukiendelea katika Mabonde ya mashamba katika kijiji cha Nduga.
Diwani wa kata ya Mlembule Wilson Mgunga Akifafanua jambo kwa wanchi wa kata hiyo.
Bwana Sudi akitoa utetezi wake kwa wanchi wa kijiji cha Nduga.



Comments

Popular posts from this blog

DC KIZIGO ATOA MAAGIZO KWA KWA MAAFISA ELIMU KUKABILIANA NA UKATILI MASHULENI.

HISTORIA YA MPWAPWA HATARINI KUTOWEKA

KIZIGO AWAPONGEZA RUWASA,AKERWA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA,AWATAJA MADIWANI.