MBINU CHAFUJUU YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI MPWAPWA

Imeanika kuwa kuna mkakati mbaya wa  kumuondoamadarakani mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya mpwapwa  kwa kile kinacho daiwa ni upendeleo  na kushidwa kuongoza na kutumia ubabe na kuwalinda watumishi wa halmashauri hiyo.
     Hal  hiyo imegunduliwa na mwandishi wa blog hii wilayani  mpwapwa alipo jaribu kufanya  uchunguizi wa swala hili lililo enea miongoni mwa  madiwani wa halmashauri hiyo juu yakumuondoa mwenyekiti huyo kwa sababau za kisiasa zaidi.
    Kikieleza chanzo chetu kimedai kuwa msukumo huo unatoka kwa  mmoja wakigogo wakisiasa wilayani hapo na wmwenye wadhifa wa naibu waziri  kwa madai ya kuwa kushidwa kuelewana na mwenyekiti huyo 
  Adha  chnzo hicho kimeongeza  kuwa  mkakati huoulio shilkiliwa na baadhi ya madiwani wawili juu ya kuwashawishi  madiwani wnzao ili waweze kutia saini ya kuto kuwa na imani ya mwenyekiti huyo.
      Tena wameongeza kuwa  sababu kubwa ya  diwani huyo kuto kukubalika kwa sasa ni upendeleo alio kuwa nao kwa  baadhi ya madiwani w\a kike  ambao wanamuhisi kuwa na mahusiano nae.
    Sababuzingine nikuwa mwenyekiti wa halmashauri hiyo   anakula sahani   majo na watumishi wa serikali hapo katika halmashauri hiyo na kushidwa kusimamia  wapiga kura wake huku wakizidi kuteseka na kuhanagaika hiku wakikosa huduma muhimu za kijamii kwa kile kinacho daiwa  na matumizi mabaya ya viongozi wa halamashauri hiyo.
 Lakini wahamuzi wa maboya kisiasa wilayanihao walihoji chanzo cha diwani huyo kukosana na  mh,mbunge huyo kwa madai kuwa kigogohuyo alitumia nguvu na pesa nyingi kumuweka madarakani  mwenyekiti huyo.
   Mpaka sasa kila diwani hajui  chanzo cha ugomvi wao na  kigogo huyo  na kubaki wakitaama mchezo kwa mbali huku kila mmoja akisema ya kwake. 

Comments

Popular posts from this blog

KIZIGO AWAPONGEZA RUWASA,AKERWA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA,AWATAJA MADIWANI.

HISTORIA YA MPWAPWA HATARINI KUTOWEKA

DC KIZIGO ATOA MAAGIZO KWA KWA MAAFISA ELIMU KUKABILIANA NA UKATILI MASHULENI.