Kilimo cha korosho chafikiliwa kukwamua uchumi wa Mpwapwa.

Mkuu wa wilaya awaza kuanzisha kilimo ch korosho Mpwapwa hiyo ni baadhi ya miche ya mkorosho  iliyo otesha katika magereza ya Mpwapwa tayarikwa kwenda shamabani.
Mkuu wa Gereza la Mpwapwa SSP .Joseph Tembo  akionyesha taarifa  njisi ya upandaji wa miche ya   korosho .
Miche ya mikorosho  iliyo stawishwa KATIKA Gereza la Mpwapwa.

Comments

Popular posts from this blog

DC KIZIGO ATOA MAAGIZO KWA KWA MAAFISA ELIMU KUKABILIANA NA UKATILI MASHULENI.

HISTORIA YA MPWAPWA HATARINI KUTOWEKA

KIZIGO AWAPONGEZA RUWASA,AKERWA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA,AWATAJA MADIWANI.