Posts

Showing posts from September, 2012

VYANZO VYA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI

NA NOEL STEPHEN   MPWAPWA Imegundulika kuwa   migogoro mingi ya ardhi hapa nchini inasababishwa na vijiji vingi kukosa mpango wa matumizi bora ya ardhi. Hali hiyo imegundulika na mwandishi wetu aliyeko wilayani mpwapwa aliyefanya utafiti juu   ya kugundua chanzo cha migogoro mingi inayotokea kati ya wafugaji na wakulima inasababishwa na    vijiji vingi hapa nchini kuto kuwa   na   mipango ya matumizi bora ya ardh. Akiongea mmoja wa   maafisa ardhi wilayani mpwapwa Edina Nambua   alisema kuwa kwa wilaya ya mpwapwa kuna vijiji   tisa tu ambavyo tayari vimefanyiwa   mpango wa matumizi bora ya ardhi kati ya vijiji   124. Aidha   Nambua alisema kuwa   sababu nyingine inayao pelekea migogoro kati ya wafugaji na wakulima sehemu za vijijini ni baadhi ya    watendaji wa ngazi za vijiji na kata   kuwa sehemu za kusababisha migogoro hiyo kwa kushidwa kusimamai a sheria no 5 ya ardhi ya mwaka 1999ambayo hupelekea mianya ya rushwa, Tena   alisema kuwa   mpango huo   unagharama kubwa sana kitu

WANAWAKE WAOBWA KUTAMBULIWA NA KATIBA

aNa   noel   Stephen   mpwapwa Mwenye kiti wa umoja wa wanawake   Tanzania( UWT) wilayani Mpwapwa   ZELLY NGOWO amesema kuwa   anaomba katiba ijayo   iweze kumtambua na kumlinda mwanamke   kisheria na kikatiba   juu haki zake za msingi na usawa mbele ya jamii,   Mwenyekiti huyo aliya sema hayo wilayani mpwapwa alipokuwa akiongea na waandishi wa habari   mara baada ya kuibuka mshindi katika uchaguzi wa jumuiya hiyo ulio fanyika   mwishoni mwa   wiki hii    mjini mpwapwa mkoani dodoma   Bi Ngowo alisema kuwa yeye kama mwenyekiti ana mipango endelevu kwa akinamama na kusimamia haki kwa watoto kwani watoto wengi wanashindwa kuendelea na shule kutokana na kukosa haki zao za msingi za kutopelekwa shule. Pia alisema wanawake wanaweza kusimamia miradi na kuendeleza miradi ndani ya kikundi kwa kupitia nyaja mbalimbali ili mradi wapatiwe elimu ya kutosha kwenye vikundi watakavyo jiunga kwani wanawake wakiwezeshwa wanaweza. Bi ngowo alisema kuwa wanawake wengi ni waonga ndio maana wananyen

mpwapwa waaswa kujiandaa na majanga ya mafuriko

Na noel Stephen   mpwapwa W ITO    Umetolewa   kwa wanachi wa wilaya ya mpwapwa   kuweza   kujikinga na majanaga ambayo yanaweza kuzuilika ili kuweza kupunguza matokeo ya maafa kwa jamii . Wito huo umetolewa na mkuu wa wilaya ya mpwapwa BWANA Chrisopher Kangoye alipokuwa akifungua warsha juu   kwa wakuu wa idara na wakuu wa tasisi   juu kuweza kutumia rasilimali    zilizopo   kwa ajili ya kuweza   kuzua majanga na mafuriko kwa wilaya ya mpwapwa. Kangoye alisema kuwa   kuna maafa ambayo yanaweza kuzuilika   kama wananchi wanaishi mabondeni kuhama   kabla maafa   hayajafika   na kuweza kuimarisha miundo mbinu kwa   wilaya hiyo ikiwemo barabara,   makazi, na   madaraja. AIDHA Kangoye alisema kuwa kwa historia   wilaya ya mpwapwa   inakabiliwa na majanaga kama mafuriko,uchomaji moto milima,   kuanzia   mwezi septemba hadi   decemba   ambapo alisema kuwa kutokana na hali hiyo wilaya na taifa inaingia hasara kubwa kwa kuwahudumia watu walio athiriwa na   matukio hayo   ambapo aliwataka wa

MADAKTARI WALALA WODI ZA WAGONJWA MPWAPWA.

  Na noel Stephen mpwapwa   Baadhi ya watumishi wa idara   ya afya wilayani mpwapwa   walio ajiliwa   mwezi mei mwaka ambao ni manesi na matabibu   wanalala kwenye wadi za wagonjwa kwa muda wa miezi mitatu   kutokana na halmashauri hiyo kuto kuwapatia nyumba   na hela za kujikimu.   Kitendo hicho cha aibu na cha uzalil;ishaji kwa wataalamu hao    ambacho kimetokea kwa muda wa miezi mitatu sasa bila   halmashauri hiyo kuto kutoa majibu yeyete juu ya   suala hilo .   Wakiongea   na mwandishi wetu   wilayani hapo baadhi ya watumishi hao wamesema kuwa   btangu waajiliwe   mwezi mai   mwaka huu halimashauri hiyo iliwaonyesha   wadi   za wagonjwa kuwa walae kwa muda   wakati wanatafutiwa    uataratibu   wa malazi lakini mpaka sasa wamekuwa wakiendelea kulala wodini hapo   kama wagonjwa   bila mkurugenzi huo bila kuchukua hatua. Aidha wanmedai kuwa   lalamiko hili wamelipeleka mpaka kwa mkurugenzi mtendaji wa halimashauri hiyo lakini   wamekuwa wakipigwa danadana   bila mafanikio,