KIONGOZI MBIO ZA MWENGE ATAKA MIRADI IENDELEZWE MALA BAAD YA MWENGE KUPITA




MWENGE wa Uhuru  wazindia  na kuweka mawe ya msingi  kwenye  miradi maendeleo yenye dhamnai ya shiingi billion 1, 380,562,029,72/= wilayani Mpwapwa   mkoani Dodoma.
Mwenge huo uliopokelewa kutoka katika  wilaya ya Kongwa  umezindua miradi mitano na kuweka jiwe la msingi katika mradi mmoja  nyumba ya walimu ya sita  kwa moja katika shule ya sekondari Matomondo.
Mkuu wilaya ya Mpwapwa Jabil Shakimweri  mwenge huo umekimbizwa katika wilaya ya mpwapwa kwa  Umbali wa kilometa 110 na kuzindua miradi ya maendeleo yenye dhamani ya shilingi billion 1,380,562,029,72/=.
Shakimweri amesema miradi hiyo kuwa ni Nyumba ya walimu  shule ya sekondari Matomondo yenye uwezo wa kuishi familia  sita kwa nyumba moja ,kufungua mradi ya maji katika kijiji cha Kimagai,Uzinduzi wa Jengo la  vikundi vya ugawaji wa hisa,Josho  la Ng’ombe katika kijiji cha Mangangu,Uzinduzi wa maabara ya kisasa katika  hospitali ya Benjamini Mkapa  na uzinduzi wa kituo cha biashara  katika halmashauri ya Mpwapwa.
Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa  bwana George Mbijima   amewataka viongozi hao kuweza kusimamia miradi hiyo ili iweze kuwa tija kwa wananchi na kuweza kuondoa kero zilizo kuwa zinawakabili wananchi katika maeneo yao kbabla ya kuwapo kwa miradi hiyo.
Mbijima amesema  kuwa  endapo  kundi kubwa la vijana wakajikita katika matumizi ya madawa  ya kulevya   kuna hatari  kubwa  ya taifa kukosa watalaamu na vingozi wa badae.
Aidha amesema kuwa kundi kubwa la vijana ambao ndio nguvu kazi ya kubwa  Taifa wamejikita katika matumizi makubwa ya madawa ya kulevya ambayo yamekuwa yakiwaathiri  kwa kiasi kikubwa vijana  na kushidwa kuwa wazalishaji na kubaki kuwa tegemezi badala ya kuwa wazalishaji .
Hata hivyo mbijima  ameongeza  kuwa  kuwa kuna kawaida ya miradi mingi inayo zinduliwa na mbio za mwenge  kushidwa kuendelezwa mala baada ya  mwenge kupita



Comments

Popular posts from this blog

KIZIGO AWAPONGEZA RUWASA,AKERWA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA,AWATAJA MADIWANI.

HISTORIA YA MPWAPWA HATARINI KUTOWEKA

DC KIZIGO ATOA MAAGIZO KWA KWA MAAFISA ELIMU KUKABILIANA NA UKATILI MASHULENI.