DR ,ULIMBOKA AOKOTWA PORINI AKIWA HOI.
1digg
Mwenyekiti wa Jumuiya ya madaktari nchini, Dk Stephen Ulimboka amelazwa katika hospital ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuokotwa katika pori la Pande nje kidogo ya jiji akiwa taaban.Inasemekana Dk Ulimboka alitekwa jana na watu wasiojulikana.
kwa taarifa zaidi soma gazeti la mwananchi kwa taarifa zaidi.

hivi ndo tuseme nchi hii ina amani? amani iko wapi , tunakutaka wqaziri wa mambo ya ndani na waziri wa afya hili swala lifanyieni uchunguzi wa kina bila hivyo ninyi wenyewe ndo mmefanya hiyo inshu, lakini matokeo yake utayaona mbele twendee tuuuuu
ReplyDelete