ASASI ZA KIRAIA ZA LALAMIKIWA KUTO KFIKIA MALENGO.
Na noel Stephen Mpwapwa I mebainika kuwa Asssi za kiraia nchini japo kuwa zimefanya kazi kubwa kwa jamii na serikali lakini bado hajijafikia malengo yanayo takiwa kutokana na rasilimali zilizo tumika na matokeo yanayo onekana. H ayo yamebainishwa na Bwana AYUBU KUPONA afisa mipango kitengo cha Sera na Maendeleo katika ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl mjini Dar –ES-Salaam alipo kuwa akifungua warsha ya watendaji Wakuu wa AZAKI TANZANIA. Bwana kupona alisema kuwa japo kuwa asasi nyingi zimefanya kazi nchini bado kuna changomoto ya kuyafikia malengo yaliyo kusudiwa ingawa pesa nyingi imetumika katika kitengo hicho kitu alicho sema kuwa matokeo haya endani na kiwango cha rasilimali zilizo tumika . Aidha alidai kuwa asasi nyingi nchini bado hazijafanya kazi za kufuatilia mambo makuu ya kita...