VYUO VYA WATU BINAFSI VYALIA NA SERKALI KUHUSU MIKOPO






Na Siyena Mbuta Mpwapwa

Wahitimu wa chuo cha Mifungo na Kilimo Visele Wilayani Mpwapwa Mkoa wa Dodoma wameomba kupatiwa  mikopo wakiwa Chuoni pamoja na kupatiwa ajira ya moja kwa moja wanapo hitimu mafunzo yao ya Chuoni.

Hayo yamesema na Wahitimu wa  chuo kilimo na mifugoVisele katika mahafali yao ya kwanza katika Chuo  kuwa wanapokuwa chuo wanashindwa kuwatembelea na kuwaelimisha  wafungaji na wakulima kutokana na kuto kuwa na usafiri kwa mfano magari na pikipiki.

Pia wamesema kuwa wapatiwe mikopo ili waweze kujimudu katika kazi zao na kuwapatia elimu ili wawe wafungaji na wakulima bora na waendane na wakati wa kisasa.

Aidha mkuu wa chuo hicho Bi JEROME BAHEMU amesema katika chuo chake anakumbanana na tatizo la  wanachuo kuto kutokuwa na mkopo  ya mafunzo juu ya kozi zao kitu kinacho wapelekea wanashindwa kufanya kazi zao, vilevile na wameomba kupatiwa ajira kwa wanachuo wake ya moja kwa moja kama vilivyo kuwa vyuo vingine hapa nchini

Chuo cha visele  amabaocho ni chuo cha mtu binafsi ambacho cha kwanza hapa nchini na kimeweza kutoa  wanachuo wapaotao 32 walihitimu chuono hapo kwa kozi za mifugo na kilimo.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA MPWAPWA HATARINI KUTOWEKA

MAANA YA JINA MPWAPWA

DC KIZIGO ATOA MAAGIZO KWA KWA MAAFISA ELIMU KUKABILIANA NA UKATILI MASHULENI.