siku ya familai duniani
Ndugu zangu watanzania wenzangu nawasilimu,nikiamini kuwa sote mwenyezi mungu katujalia uhai tele na wenye afya tele, pia wawapa pole kwa wote walio fikwa na kadhia zozote kwa leo, na wanao sherekea siku zao za kuzaliwa nawapongeza nigepenada tushirikishane Jambo moja leo tunasherekea siku za familia,kwanza tujiulize familia ni nini?, inaudwaje,?na ina uzuri gani na ina changamoto gani? kwenye jamii, familia nyingi zimejikuta ziKiingia kwenye matatizo kwa makusudi au bila makusudi jambo la muhimu ndani ya famila ni kuwasiliana,kupendana, kuheshimiana, na kila mmoja atimize wajibu wake ndani ya familia hakutakuwa na mifaarakano, tukumbuke maneno yasermayo"enyi wake waheshimuni waume zenu nananyi waume wapendeni wake zenu,enyi watoto waheshimuni wakubwa zenu ili siku zenu zipate kuwa NYINGI KATIKA NCHI UPEWAYO NA BWANA NA MUNGU WAKO"
Comments
Post a Comment