Popular posts from this blog
VYUO VYA WATU BINAFSI VYALIA NA SERKALI KUHUSU MIKOPO
       Na Siyena Mbuta Mpwapwa  Wahitimu wa chuo cha Mifungo na Kilimo Visele Wilayani Mpwapwa Mkoa wa Dodoma wameomba kupatiwa   mikopo wakiwa Chuoni pamoja na kupatiwa ajira ya moja kwa moja wanapo hitimu mafunzo yao ya Chuoni.  Hayo yamesema na Wahitimu wa   chuo kilimo na mifugoVisele katika mahafali yao ya kwanza katika Chuo   kuwa wanapokuwa chuo wanashindwa kuwatembelea na kuwaelimisha   wafungaji na wakulima kutokana na kuto kuwa na usafiri kwa mfano magari na pikipiki.  Pia wamesema kuwa wapatiwe mikopo ili waweze kujimudu katika kazi zao na kuwapatia elimu ili wawe wafungaji na wakulima bora na waendane na wakati wa kisasa.  Aidha mkuu wa chuo hicho Bi JEROME BAHEMU amesema katika chuo chake anakumbanana na tatizo la   wanachuo kuto kutokuwa na mkopo   ya mafunzo juu ya kozi zao kitu kinacho wapelekea wanashindwa kufanya kazi zao, vilevile na wameomba kupatiwa ajira kwa wanachuo wake ya moja kwa moja kama vilivyo kuwa vyuo vingine hapa nchini  Chu...
HISTORIA YA MPWAPWA HATARINI KUTOWEKA
      Na Stephen –noel –mpwapwa.   WANANCHI wa wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma wameonyesha wasiwasi wao juu ya vitu vya kihistoria   ya wilaya hiyo vilioachwa na wakoloni iko hatarini kutoweka   kutokana   na   sehemu hizo   za kihistoria kuto kuhifadhiwa    na kulidwa na mamlaka husika.   Wakiongea   na waandishi wa habari   mmoja wa wazee wakongwe wa mji huo   bwana Abinoo Mathiasi    mkazi wa   hazina alisema kuwa   miongoni mwa historia hizo ambazo   ni   njia kuu ya watumwa   iliyokuwa ikotokea   bara   yaani mikoa ya Kigoma   na Tabora   na kuelekea Bagamoyo na Zanzibar iliyokuwa ikiongozwa na Said Majid TippTip na Abushir ambayo kwa sasa iko mbioni kufutika   Mti wa mlumbulumbu ambao kwa sasa umesha anguka na wanachi wameupasua kuni ambapo   palichomwa   kanisa la Anglikana la kwanza   na mfanya biashara ya watumwa   mwarabu Abushir kwa vile watu wa eneo hi...



Comments
Post a Comment