ab kutoka Mogadishu na kuimarika kwa hali ya usalama katika mji mkuu wa Somalia kumehamasisha wasanii wengi wa Somalia kurejea nyumbani. Kurejea kwao kunageuza wimbi la uhamiaji lililodumu kwa miaka mingi, wakati ambao majumba ya sanaa za maonesho na sinema mjini yalifunga milango yao, na kurejesha nyuma maendeleo ya sanaa.
  • Waimbaji wa Somalia wakiimba katika uzinduz wa mpango wa maelewano ya kijamii huko Benadir yaliyofunguliwa na Meya wa Mogadishu Mohamud Ahmed Nur. [Na Adnan Hussein/Sabahi] Waimbaji wa Somalia wakiimba katika uzinduz wa mpango wa maelewano ya kijamii huko Benadir yaliyofunguliwa na Meya wa Mogadishu Mohamud Ahmed Nur. [Na Adnan Hussein/Sabahi]
  • Mpenzi wa muziki (katikati) akipozi kwenye picha pamoja na mwanamuziki maarufu wa Somalia, Farhiya Fiska, kushoto, na Abdikadir Juba. [Na File/Sabahi]

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA MPWAPWA HATARINI KUTOWEKA

MAANA YA JINA MPWAPWA

DC KIZIGO ATOA MAAGIZO KWA KWA MAAFISA ELIMU KUKABILIANA NA UKATILI MASHULENI.