Posts

Showing posts from 2012

TASISI ZA MKOPO KIKWZO KWA WAJASILIA MALI WADOGO.

Na noel stephen dodoma Tanzania kuna uwezekano mkubwa  wa kushidwa kufikia   baadhi ya  malengo yake milenium kutokana na changamoto zilizoonekana katika utekelezaji wa malengo hayo. Akiongea na radio mwangaza fm mmoja wa wajasilia  mali  aliyejiatambulisha kwa jina la solomon Ambakisye alisema kuwa kuna chanagamoto kubwa  katika kulifikia lengo la tatu la milenium amabalo linadai kuondoa  umaskini wa  kipato  kwa mtanzania . Ambakisye amedai kuwa   wajasilia mali wengi nchini   hawana elimu ya  riba na mikopo kwa tasisi za fedha kitu ambacho kinawapelekea  kujingiza kwenye madeni yenye riba kubwa amabayo  amesema kuwa badala ya kuwainua kiuchumi  bali inazidi kuwadidimiza kwa mikopo hiyo kuwa na riba kubwa. Aidha amedai kuwa  bado serikali inatakiwa kulaumiwa kwa hili kutokana na kuweka malengo mengi   lakini kushindwa kuiwekea mikakati ya utekelezaji wa malengo hayo. "Tanzania sis...

CCM YAIBUKA KIDEDEA UCHAGUZI WA UDIWANI MPWAPWA

na noel stephen SERIKALI imewaagiza wakurugenzi wa halmashauri, maafisa elimu wa mikoa na wilaya nchini, pamoja na wakuu wa shule, kuhakikisha fedha zinazotolewa na shirika lisilo la kiserikali la Camfed linalojihusisha na masuala ya elimu kutumika kwa malengo  yaliyokusudiwa. Akizungumza jana na waandishi wa habari mjini hapa, Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa na serikali za mitaa(Tamisemi), Elimu, Kassim Majaliwa, alisema wizara imejipanga kuongeza juhudi za ufuatiliaji wa fedha hizo ili kuhakikisha zinawafikia walengwa na haitasita kuwachukulia hatua kali watakaotumia fedha hizo kinyume. Alisema serikali tayari imeonyesha jitihada za kudhibiti fedha hizo ambazo zinafanya kazi ya kuboresha elimu hususan kwa watoto wa kike. Hata hivyo, alisema baadhi ya walimu wakuu ambao walibainika kuzitumia fedha hizo kinyume na matakwa walisimamishwa kazi na wengine kushushwa vyeo. “Kwa mfano kwa aliyekuwa mwalimu mkuu wa nyamisati na mwenzie wa kibiti tuligundua maeneo ambayo...

TEMBO AUWA MTU CHUNYU MPWAPWA

MADIWANI WAMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI MPWAPWA

VYANZO VYA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI

NA NOEL STEPHEN   MPWAPWA Imegundulika kuwa   migogoro mingi ya ardhi hapa nchini inasababishwa na vijiji vingi kukosa mpango wa matumizi bora ya ardhi. Hali hiyo imegundulika na mwandishi wetu aliyeko wilayani mpwapwa aliyefanya utafiti juu   ya kugundua chanzo cha migogoro mingi inayotokea kati ya wafugaji na wakulima inasababishwa na    vijiji vingi hapa nchini kuto kuwa   na   mipango ya matumizi bora ya ardh. Akiongea mmoja wa   maafisa ardhi wilayani mpwapwa Edina Nambua   alisema kuwa kwa wilaya ya mpwapwa kuna vijiji   tisa tu ambavyo tayari vimefanyiwa   mpango wa matumizi bora ya ardhi kati ya vijiji   124. Aidha   Nambua alisema kuwa   sababu nyingine inayao pelekea migogoro kati ya wafugaji na wakulima sehemu za vijijini ni baadhi ya    watendaji wa ngazi za vijiji na kata   kuwa sehemu za kusababisha migogoro hiyo kwa kushidwa kusimamai a sheria no 5 ya ardhi ya mwaka 1999ambayo hupelek...

WANAWAKE WAOBWA KUTAMBULIWA NA KATIBA

aNa   noel   Stephen   mpwapwa Mwenye kiti wa umoja wa wanawake   Tanzania( UWT) wilayani Mpwapwa   ZELLY NGOWO amesema kuwa   anaomba katiba ijayo   iweze kumtambua na kumlinda mwanamke   kisheria na kikatiba   juu haki zake za msingi na usawa mbele ya jamii,   Mwenyekiti huyo aliya sema hayo wilayani mpwapwa alipokuwa akiongea na waandishi wa habari   mara baada ya kuibuka mshindi katika uchaguzi wa jumuiya hiyo ulio fanyika   mwishoni mwa   wiki hii    mjini mpwapwa mkoani dodoma   Bi Ngowo alisema kuwa yeye kama mwenyekiti ana mipango endelevu kwa akinamama na kusimamia haki kwa watoto kwani watoto wengi wanashindwa kuendelea na shule kutokana na kukosa haki zao za msingi za kutopelekwa shule. Pia alisema wanawake wanaweza kusimamia miradi na kuendeleza miradi ndani ya kikundi kwa kupitia nyaja mbalimbali ili mradi wapatiwe elimu ya kutosha kwenye vikundi watakavyo jiunga kwani wanawake wakiwezeshw...

mpwapwa waaswa kujiandaa na majanga ya mafuriko

Na noel Stephen   mpwapwa W ITO    Umetolewa   kwa wanachi wa wilaya ya mpwapwa   kuweza   kujikinga na majanaga ambayo yanaweza kuzuilika ili kuweza kupunguza matokeo ya maafa kwa jamii . Wito huo umetolewa na mkuu wa wilaya ya mpwapwa BWANA Chrisopher Kangoye alipokuwa akifungua warsha juu   kwa wakuu wa idara na wakuu wa tasisi   juu kuweza kutumia rasilimali    zilizopo   kwa ajili ya kuweza   kuzua majanga na mafuriko kwa wilaya ya mpwapwa. Kangoye alisema kuwa   kuna maafa ambayo yanaweza kuzuilika   kama wananchi wanaishi mabondeni kuhama   kabla maafa   hayajafika   na kuweza kuimarisha miundo mbinu kwa   wilaya hiyo ikiwemo barabara,   makazi, na   madaraja. AIDHA Kangoye alisema kuwa kwa historia   wilaya ya mpwapwa   inakabiliwa na majanaga kama mafuriko,uchomaji moto milima,   kuanzia   mwezi septemba hadi   decemba   ambapo alisema kuwa kutoka...

MADAKTARI WALALA WODI ZA WAGONJWA MPWAPWA.

  Na noel Stephen mpwapwa   Baadhi ya watumishi wa idara   ya afya wilayani mpwapwa   walio ajiliwa   mwezi mei mwaka ambao ni manesi na matabibu   wanalala kwenye wadi za wagonjwa kwa muda wa miezi mitatu   kutokana na halmashauri hiyo kuto kuwapatia nyumba   na hela za kujikimu.   Kitendo hicho cha aibu na cha uzalil;ishaji kwa wataalamu hao    ambacho kimetokea kwa muda wa miezi mitatu sasa bila   halmashauri hiyo kuto kutoa majibu yeyete juu ya   suala hilo .   Wakiongea   na mwandishi wetu   wilayani hapo baadhi ya watumishi hao wamesema kuwa   btangu waajiliwe   mwezi mai   mwaka huu halimashauri hiyo iliwaonyesha   wadi   za wagonjwa kuwa walae kwa muda   wakati wanatafutiwa    uataratibu   wa malazi lakini mpaka sasa wamekuwa wakiendelea kulala wodini hapo   kama wagonjwa   bila mkurugenzi huo bila kuchukua hatua. Aidha wanmedai kuwa   la...

AL-SHAABAB KUUWANA WENYEWE KWA WENYEWE

Image
68 Maoni Chapisha Baruapepe Panga upya Uamuzi wa Al-Shabaab wa kuwaua wanachama wake watatu kwa tuhuma za kupeleleza kwa ajili ya serikali za kigeni kunaonyesha ukosefu wa imani ndani ya vyeo vya kikundi cha wapiganaji, wachambuzi wa kisiasa na waangalizi wanasema Mpiganaji wa al-Shabaab amesimama akilinda wakati mamia ya wakazi wakiangalia adhabu ya kukatwa viungo hadharani. Al-Shabaab hivi karibuni iliwaua wanachama wake watatu kwa tuhuma za kupeleleza kwa niaba ya serikali za kigeni. [Mustafa Abdi/AFP] Makala zinazohusiana Al-Shabaab imezingirwa na mivutano mikubwa ya ndani Zawadi zaongeza mgogoro wa ndani miongoni mwa al-Shabaab, wachambuzi asema Kuyumba kwa al-Qaeda kunatokana na vifo kadhaa miongoni mwa viongozi wake Ujumbe wa al-Zawahiri waonekana kama njia ya kutaka kuvutia macho kwengine nyaraka za bin Laden Al-Shabaab ilisema watu watatu -- Ishaq Omar Hassan,miaka 22, Yasin Osman...

MBINU CHAFUJUU YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI MPWAPWA

Imeanika kuwa kuna mkakati mbaya wa  kumuondoamadarakani mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya mpwapwa  kwa kile kinacho daiwa ni upendeleo  na kushidwa kuongoza na kutumia ubabe na kuwalinda watumishi wa halmashauri hiyo.      Hal  hiyo imegunduliwa na mwandishi wa blog hii wilayani  mpwapwa alipo jaribu kufanya  uchunguizi wa swala hili lililo enea miongoni mwa  madiwani wa halmashauri hiyo juu yakumuondoa mwenyekiti huyo kwa sababau za kisiasa zaidi.     Kikieleza chanzo chetu kimedai kuwa msukumo huo unatoka kwa  mmoja wakigogo wakisiasa wilayani hapo na wmwenye wadhifa wa naibu waziri  kwa madai ya kuwa kushidwa kuelewana na mwenyekiti huyo    Adha  chnzo hicho kimeongeza  kuwa  mkakati huoulio shilkiliwa na baadhi ya madiwani wawili juu ya kuwashawishi  madiwani wnzao ili waweze kutia saini ya kuto kuwa na imani ya mwenyekiti huyo.       Tena wameongeza kuwa  sa...

TAMBO ZA UDIWANI ZASHIKA KASI KATA YA MPWAPWA MJINI

Na   noel Stephen Mpwapwa WiTo umetolewa kwa wananchi wote wilayani   mpwapwa mkoa wa Dodoma   kuweza kumchagua mtu kutokana   na sera zake na chama chake bali   kuachana na hatua za kumchagua mtu   kwa kufuata mazoe   ya chama . WiTO huo umetolewa na Katibu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo   CHADEMA   FABIAN MOKE   alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jana    juu kichanag`anyilo cha udiwani kata ya mpwapwa   mjini utakao fanyika   sept 30 mwaka huu. MOKE alisema kuwa   kuna mazoea ya wananchi ya kuchagua   mtu kwa sababu anatoka kwenye chama Fulani bila kupima uwezo wake wa   kujieleza kujenga hoja na kuweza kuwatetea wanachi wanyonge wanaokandamizwa   na utawala wa chama TAWALA. Aidha moke   alidai kuwa kwa wilaya ya mpwapwa nzima hakuna diwani wa chama cha upinzani ndio maana madiwani wa chama hicho kuweza   kubuluzwa na watendaji wa Halmashauri hiyo na kusahau kazi yao ya ...

TAMBO ZA UDIWANI ZASHIKA KASI KATA YA MPWAPWA MJINI

  Na noel Stephen mpwapwa Imeelezwa   kuwa   wakina mama wa   kijiji cha   iyoma hutembea mda wa masaa mawili hadi matatu kwenda kutafuta maji   ya matumizi mbalimbali ya nyumbani. Lai hiyo imetolewa na wanakiji hao kwenye mkutano wa hadahara   na mkuu wa wilaya hiyo   Christopher Kangoye alipokuwa akiongea na wanakijiji hao   juu uzalishaji wa kipato na utunzaji wa mazingira wilayani mpwapwa. Wanakijiji hao walisemakuwa maendeleo yote hapa   nchini katika sehemu mbalimbali hutegemea nishati ya   maji na umeme   kitu walichokisma kuwa kijiji hicho hakitaweza kupata maendeleo yale yanayotakikakana kutokana   na nguvukazi nyingi na wazalishaji wakubwa ambao nia akina mama wana tumiamuda mwingi katika kutafuta maji   ambapo huwalazimu kila siku   kuamuaka saa kumi za alfajili kwenda kutafuta maji   kituwalicho kisemakuwa   kina hatarisha   maisha yao na y a watoto wao wa kike, Akiongea mmoja wa wana...

MKU U WA WILAYA AMFUKUZA KAZI AFISA UGANI.

 Katika hali isiyoya kawaida mkuu wa wilaya ya mpwapwa Christopher Kangoye  amesema kuwa hapendi kumuona  afisa ugani katika wilaya yake kwa kushidwa kujibu swali alilo muliza .      H ali hiyo imetokea  hivi karibuni katika kijichaiyoma mala baada ya afisa ugani huyo bwana SPRIAN SANKIRA kushidwa  kijibu swali la  kuwa katika hekta moja  ya ufuta  kunaweza kutoa mazao ya kiasi gani cha ufuta  ambapo alijibu kuwa inaweza kutoa tani 1.5,    Baada kujibiwa vile mkuu wa wilaya huo aliwalika na kumjia juu  kuwa afisa ugani huyo ni mzigo wa wilaya na hawezi kazi na hivyo  hawezi  kuendelea kumuona akifanya kazi katika wilaya yake na atafute sehemu ya kwenda kufanya kazi na sio wilaya anayo iongoza yeye.     Kwa upande wake afisa ugani huyo alisema kuwa hicho sio sababu ya kumuhamisha kituo cha kazi   bali alisema kuwa  ni chuki binfsi  wanasiasa hasa kata aliyo ku...

KIJIJI CHAKOSA HUDUMA ZA MAJI KWA MIAKA KUMI.

  Na   noel Stephen mpwapwa   Imeelezwa   kuwa   wakina mama wa   kijiji cha   iyoma hutembea mda wa masaa mawili hadi matatu kwenda kutafuta maji   ya matumizi mbalimbali ya nyumbani. Lai hiyo imetolewa na wanakiji hao kwenye mkutano wa hadahara   na mkuu wa wilaya hiyo   Christopher Kangoye alipokuwa akiongea na wanakijiji hao   juu uzalishaji wa kipato na utunzaji wa mazingira wilayani mpwapwa. Wanakijiji hao walisemakuwa maendeleo yote hapa   nchini katika sehemu mbalimbali hutegemea nishati ya   maji na umeme   kitu walichokisma kuwa kijiji hicho hakitaweza kupata maendeleo yale yanayotakikakana kutokana   na nguvukazi nyingi na wazalishaji wakubwa ambao nia akina mama wana tumiamuda mwingi katika kutafuta maji   ambapo huwalazimu kila siku   kuamuaka saa kumi za alfajili kwenda kutafuta maji   kituwalicho kisemakuwa   kina hatarisha   maisha yao na y a watoto wao wa kike, Akiongea...

MADIWANI WAGOMEA KIKAO KISA AGENDA ZIMEKOSEWA

Na   noel Stephen Mpwapwa Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya mpwapwa mkoani dodoma wamezikataa agenda za vikao vya baraza hilo kwa madai ya agenda hizo kuwa   zimekosewa kuandaliwa na watendaji wa halmashauri   ya mpwapwa Hali hiyo imejitokeza   mwishoni   mwa   wiki   katika   kikao cha baraza la madiwani wilayani mpwapwa   mala baada tu ya mwenyekiti wa halmashauri hiyo kufungua kikao     na kuwataka madiwani hao kuweza kupitisha   agenda za   kikao   ndipo diwani   wa kata ya kimagai bwana MATURUH    KUCHELA   kuomba muuongozo wa mwenyekiti    juu   ya uandaaji wa   wa taarifa ya kikao cha mwisho   wa mwaka kuwa agenda zilizo andaliwa zilikuwa zimekosewa. Bwana kuchela alidai kuwa kwa mujibu wa kanuni za halmashauri   ya wilaya ya mpwapwa inamtaka   mkurungenzi kuwapatia   madiwani kablasha   siku   saba kabla ya   kikao kufanyika lakin...

WALIMU WAUNGA MKONO MGOMO KWA ALMIA 98.4 MPWAPWA

Na   noel Stephen mpwapwa 30 julai 2012   Asilimia 98.4 ya walimu wote wa wilaya ya mpwapwa waunga mkono mgomo wa walimu unaoendelea kote nchini   wakati asilimia 1.6 hawakubaliani na mgomo huo.   Ni kauli   iliyo tolewa na mwenyekiti wa chama cha walimu wilayani   mpwapwa   Bi NELEA NYANGUYE mkoani dodoma   alipokuwaakiongea na waandishi wa habari   ofisi kwake juu ya kutoa msimo   wa chama hicho juu   mgomo wa walimu wote katika wilaya ya mpwapwa. Bi nyanguye   alisema kufuatia   kauli ilioyo tolewa na   Raisi wa chama hicho taifa   wilaya ya mpwapwa imeunga mkono kwa asilimia   98.4 mgomo huo   kwa kuishinikiza serikali kuwalipa haki zao za msingi kama watumishi wa serikali . Aidha bi Nyanguye alisema kuwa   kufuatia   kifungu cha 80 kipengele kidogo cha (1)d   cha sheria ya mahusiano kazini   ya mwaka   2004   walimu ambao ni wanachama wa CWT walianza zoezi la kupiga...

KIKOSI CHA USALAM CHA WANAWAKE CAANZISHA UPYA

Image
+ Toa maoni sasa Chapisha Baruapepe Panga upya Kambi ya kikosi cha polisi cha huduma za haraka ambacho kinafanya kazi pamoja na jeshi kupambana na ugaidi na kutoa usalama wa hali ya juu kwa maofisa nchini Somalia kilifunguliwa tena katika wilaya ya Wardhigley huko Mogadishu wiki iliyopita. Ofisa wa polisi wa serikali ya Somalia akiweka ulinzi wakati msafara wa Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia ukipita Mogadishu mwezi tarehe 23, Februari 2012. [Na Mustafa Abdi/ AFP) Makala zinazohusiana Umoja wa Afrika wapitisha mkakati mpya wa kupambana na al-Shabaab Wasanii wa Somalia warejea Mogadishu baada ya kutokuwepo kwa muda mrefu. Serikali ya Somalia yaikaribisha ofisi ya UN mjini Mogadishu Kitengo cha The Darawish asili yake kilianzishwa na Jenerali Mohamed Siad Barre miaka ya 70 kama kikosi cha taifa cha jeshi la polisi; kikaacha kufanya shughuli zake wakati wa vita vya wenyewe kwa wenye...