MBINU CHAFUJUU YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI MPWAPWA
Imeanika kuwa kuna mkakati mbaya wa kumuondoamadarakani mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya mpwapwa kwa kile kinacho daiwa ni upendeleo na kushidwa kuongoza na kutumia ubabe na kuwalinda watumishi wa halmashauri hiyo.
Hal hiyo imegunduliwa na mwandishi wa blog hii wilayani mpwapwa alipo jaribu kufanya uchunguizi wa swala hili lililo enea miongoni mwa madiwani wa halmashauri hiyo juu yakumuondoa mwenyekiti huyo kwa sababau za kisiasa zaidi.
Kikieleza chanzo chetu kimedai kuwa msukumo huo unatoka kwa mmoja wakigogo wakisiasa wilayani hapo na wmwenye wadhifa wa naibu waziri kwa madai ya kuwa kushidwa kuelewana na mwenyekiti huyo
Adha chnzo hicho kimeongeza kuwa mkakati huoulio shilkiliwa na baadhi ya madiwani wawili juu ya kuwashawishi madiwani wnzao ili waweze kutia saini ya kuto kuwa na imani ya mwenyekiti huyo.
Tena wameongeza kuwa sababu kubwa ya diwani huyo kuto kukubalika kwa sasa ni upendeleo alio kuwa nao kwa baadhi ya madiwani w\a kike ambao wanamuhisi kuwa na mahusiano nae.
Sababuzingine nikuwa mwenyekiti wa halmashauri hiyo anakula sahani majo na watumishi wa serikali hapo katika halmashauri hiyo na kushidwa kusimamia wapiga kura wake huku wakizidi kuteseka na kuhanagaika hiku wakikosa huduma muhimu za kijamii kwa kile kinacho daiwa na matumizi mabaya ya viongozi wa halamashauri hiyo.
Lakini wahamuzi wa maboya kisiasa wilayanihao walihoji chanzo cha diwani huyo kukosana na mh,mbunge huyo kwa madai kuwa kigogohuyo alitumia nguvu na pesa nyingi kumuweka madarakani mwenyekiti huyo.
Mpaka sasa kila diwani hajui chanzo cha ugomvi wao na kigogo huyo na kubaki wakitaama mchezo kwa mbali huku kila mmoja akisema ya kwake.
Comments
Post a Comment