MADIWANI WAGOMEA KIKAO KISA AGENDA ZIMEKOSEWA
Na noel Stephen Mpwapwa
Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya mpwapwa mkoani dodoma wamezikataa agenda za vikao vya baraza hilo kwa madai ya agenda hizo kuwa zimekosewa kuandaliwa na watendaji wa halmashauri ya mpwapwa
Hali hiyo imejitokeza mwishoni mwa wiki katika kikao cha baraza la madiwani wilayani mpwapwa mala baada tu ya mwenyekiti wa halmashauri hiyo kufungua kikao na kuwataka madiwani hao kuweza kupitisha agenda za kikao ndipo diwani wa kata ya kimagai bwana MATURUH KUCHELA kuomba muuongozo wa mwenyekiti juu ya uandaaji wa wa taarifa ya kikao cha mwisho wa mwaka kuwa agenda zilizo andaliwa zilikuwa zimekosewa.
Bwana kuchela alidai kuwa kwa mujibu wa kanuni za halmashauri ya wilaya ya mpwapwa inamtaka mkurungenzi kuwapatia madiwani kablasha siku saba kabla ya kikao kufanyika lakini hilo halitekelezwi na kuto tilia mkazo swala hilo.
Alisema madiwani wa halmashauri hiyo makalasha wanaya patia ndani ya kiako kitu walicho sema kuwa ni njanja ya watendaji ili kuwa rubuni washidwe kuhoji mambo ya utendaji kiundani.
Adha alisema kuwa mbali na siku saba lakini walimuomba mkurugenzi wa halmashauri hiyo pamaja na madiwanai wa halmashauri walikubaliana kuwa madiwana watakuwa wanapata makablasha siku moja kabla ya kikao’’ nalo hilo limeshidwa kutekelezaeka hi vyo kwa mujibu wa kanuni hii mwenyekiti naomaba kikao kiairishwe aliomba Kuchela ’’
Kwa upande wake diwani wa kata ya chipogolo bwana RAPHEL TEMALUJE aliomba mwenye kiti kuweza kuruhusu kuzijadili agenda ambazo hazikukosewa amabazo kati aya agenda kumi na nne ni agenda tatu tu ndizo hazikukosewa na zilioweza kujadiliwa na kikao hicho .
MWENYEKITI wa hal;mashauri hiyo bwana ALEXENDER NYAULINGO aliweza kuwahoji madiwani kama wanao afikana na kuahirishwa kwa kikao hicho lakini madiwani hao wote kwa poamoja walikubaliana kuto kizipisha agenda za kiako hicho kuwa zimekosewa kandaliwa.
Pia madiwani hao walidai kuwa kikao hicho kilikuwa ni cha kumaliza mwaka hivyo zilitakiwa kandaliwa taarifa za robo zote nne kitu ambacho hakikufanyika katika kikao hicho na ziliandaliwa taarifa za robo moja tu kitu ambacho madiwani walidai watashidwa kuhoji mapato na matumizi kwa mwaka wa a fedha ulio pita .
Kuhusina na Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo bwana Fanuel SENGE aliwaomba madiwanai kupitisha agenda hizo kwa madai kuwa alishidwa kanadaa kablasha la mwaka mzima kutokana na kuwa litakuwa kubwa sana na madiwani watashidwa kupata muda wa kuya pitaia mambo yote yaliyo kuwemo ndani ya kablasha hilo.
Agenda zilikukubaliwa kujadiliwa na madiwanai hao zilikuwa na tatua amabazo zilikuwa nai kufungua kikao , kufanya uchaguzi wa kamati za kudumu za madiwani na agenada ya kufunga kikao.
Katika uchaguzi bwana WILIAM MDAJILE wa kata ya ngh,ambi alichaguliwa kuwa makamu mwenyekiti wa halmashauri hiyo , Donati nghwezi diwani wa kata ya masa alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya huduma za uchumi,kamati ya mazingira alichagiliwa bwana JOCTAN CHELIGA, kamati ya huduma za jamii Willim Madanya, na kamati ya ukimwi wilam Mdajile, kamati ya maadili bwana Richard Maponda.
Mwenyekiti wa halmashauri hiyo alimuomba mkurugenzi mtendaji wa halimashauri hiyo kufanya haraka kuitisha kikao kingine cha madiwani ili waweze kupitisha mipango ya mwaka ujao wa fedha.
Mwisho.

Comments
Post a Comment