MADAKTARI WALALA WODI ZA WAGONJWA MPWAPWA.
Na noel Stephen mpwapwa
Baadhi ya watumishi wa idara ya afya wilayani mpwapwa walio ajiliwa mwezi mei mwaka ambao ni manesi na matabibu wanalala kwenye wadi za wagonjwa kwa muda wa miezi mitatu kutokana na halmashauri hiyo kuto kuwapatia nyumba na hela za kujikimu.
Kitendo hicho cha aibu na cha uzalil;ishaji kwa wataalamu hao ambacho kimetokea kwa muda wa miezi mitatu sasa bila halmashauri hiyo kuto kutoa majibu yeyete juu ya suala hilo .
Wakiongea na mwandishi wetu wilayani hapo baadhi ya watumishi hao wamesema kuwa btangu waajiliwe mwezi mai mwaka huu halimashauri hiyo iliwaonyesha wadi za wagonjwa kuwa walae kwa muda wakati wanatafutiwa uataratibu wa malazi lakini mpaka sasa wamekuwa wakiendelea kulala wodini hapo kama wagonjwa bila mkurugenzi huo bila kuchukua hatua.
Aidha wanmedai kuwa lalamiko hili wamelipeleka mpaka kwa mkurugenzi mtendaji wa halimashauri hiyo lakini wamekuwa wakipigwa danadana bila mafanikio,
Comments
Post a Comment