KIJIJI CHAKOSA HUDUMA ZA MAJI KWA MIAKA KUMI.
Na noel Stephen mpwapwa
Imeelezwa kuwa wakina mama wa kijiji cha iyoma hutembea mda wa masaa mawili hadi matatu kwenda kutafuta maji ya matumizi mbalimbali ya nyumbani.
Lai hiyo imetolewa na wanakiji hao kwenye mkutano wa hadahara na mkuu wa wilaya hiyo Christopher Kangoye alipokuwa akiongea na wanakijiji hao juu uzalishaji wa kipato na utunzaji wa mazingira wilayani mpwapwa.
Wanakijiji hao walisemakuwa maendeleo yote hapa nchini katika sehemu mbalimbali hutegemea nishati ya maji na umeme kitu walichokisma kuwa kijiji hicho hakitaweza kupata maendeleo yale yanayotakikakana kutokana na nguvukazi nyingi na wazalishaji wakubwa ambao nia akina mama wana tumiamuda mwingi katika kutafuta maji ambapo huwalazimu kila siku kuamuaka saa kumi za alfajili kwenda kutafuta maji kituwalicho kisemakuwa kina hatarisha maisha yao na y a watoto wao wa kike,
Akiongea mmoja wa wanakijiji hao JACKSON NOAH alisema kuwa wana kijiji hao wanatumia maji amabayo si salamakwa afya za binadamu ambapo kinacho wapelekea kuumamagojwa ya matumbo mala klwa mala nawatoto chini yamiaka miitano wanakubwana ugojwa wa kutokwana mapele mwilini kutokana na uchafu wa kushidwa kuoga vizuri .
AIDHA ZAINA BAKARI alisema kuwa kjiji hicho kwa miaka kumisasa kinatumia maji ya kwenye madibwi kwamuda wa miaka kumi sasa na uzalishajiumepungua kijiji hapo kutokana na akina mama wengi kujikita kwenye shughuli za kutafuta maji badala ya kwenda kwenye uzalishaji.
Mkuu wa wilaya hiyoalisema kwa mwaka huu wa fedha kijijihicho kitapata huduma za maji zahuduma zaumeme ambao huzambazwa na kampuniya uzamabazajiumeme vijijini MCC.
Comments
Post a Comment