MKU U WA WILAYA AMFUKUZA KAZI AFISA UGANI.

 Katika hali isiyoya kawaida mkuu wa wilaya ya mpwapwa Christopher Kangoye  amesema kuwa hapendi kumuona  afisa ugani katika wilaya yake kwa kushidwa kujibu swali alilo muliza .

     H ali hiyo imetokea  hivi karibuni katika kijichaiyoma mala baada ya afisa ugani huyo bwana SPRIAN SANKIRA kushidwa  kijibu swali la  kuwa katika hekta moja  ya ufuta  kunaweza kutoa mazao ya kiasi gani cha ufuta  ambapo alijibu kuwa inaweza kutoa tani 1.5,
   Baada kujibiwa vile mkuu wa wilaya huo aliwalika na kumjia juu  kuwa afisa ugani huyo ni mzigo wa wilaya na hawezi kazi na hivyo  hawezi  kuendelea kumuona akifanya kazi katika wilaya yake na atafute sehemu ya kwenda kufanya kazi na sio wilaya anayo iongoza yeye.
    Kwa upande wake afisa ugani huyo alisema kuwa hicho sio sababu ya kumuhamisha kituo cha kazi   bali alisema kuwa  ni chuki binfsi  wanasiasa hasa kata aliyo kuwa anafanya kazi kabla ya kuhamia  kata ya gulwe alitoka kata masa ambapo walikuwa hawaelewani na  diwani wa kata hiyo na ambae ni rafiki yake mkubwasana mkuu wa wilaya hiyo.
 Baadhi ya watalaam  w\medai kuwa afisa ugani huyo hakukosea bali walishwa kuelewana lugha na  mkuu huyo kwa maana mkuu alitaka ambiwe kwa magunia  bali  afisa huyo  alijibu kwa tani ambapoalisema kuwa  tani 1.5 ni sawa na gunia  tatu ambazo aliambiwa na wanakijij wa kata hiyo,

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA MPWAPWA HATARINI KUTOWEKA

MAANA YA JINA MPWAPWA

DC KIZIGO ATOA MAAGIZO KWA KWA MAAFISA ELIMU KUKABILIANA NA UKATILI MASHULENI.