MVUA ZASABABISHA MADHARA MPWAPWA
Mvua vua
zinazoendelea kunyesha hapa wilayani
Mpwapwa mkoani Dodoma kunatishia baadhi makazi
ya watu wa mtaa wa National housing , Majengo na Hazina na
vighawe ziko hatarini kusobwa na maji kama
hakuna jitihada za makusudi hazitachukuliwa ili kuweza kunusuru makazi ya watu hao.
Makazi ya watu binafsi ambazo tayari zimesha
sobwa upande ni ni baa na nyumba za wageni ya Central , Hapeq
pamoja na shule ya na kituo cha kulelea watoto cha The Hiral kinachomilikiwa na Mwalimu Gisela Kapinga.
Mvua hizo
ambazo zimekuwa zikiumiza
vichwa vya viongozi hapa wilayani
juu ya kazi ya kuyanusuru makazi hayo na muindo mbinu ya tasisi hizo ambazo zilitumia pesa nyingi katika kuwekeza na ukamilifu wake wa tasisi hizo.
Mkuu
wa wilaya ya Mpwapwa bwana Jabir Shekimweri
alisema
ofisi yake kwa kuishirikiana na
ofisi ya Tanroad Mkoa wamefanya tadhimi
ya awali ya kuweza kujua ghalama zitakazo weza kutumika
kuayanusuru miundo mbinu hiyo makazi
hayo pamoja na tasisi hizo.
Shemweri alisema pindi watakapo kamilisha kufanya tadhimini
wataoa taarifa kwa kina jumla ya hasara
iliweza kusababishwa na mvua zinaendelea kunyesha.
Aidha Shakimwei amewataka watu wote wanaoishi
katika mazingira hatarishi kuhama kabla
mvua hajaleta madhara makubwa alisema
makazi ya watu waishiokatika mazingira hatarishi hazina vighawe
na mjimpya yako hatarini zaidi na
watu wasipo chukua tahadhari mapema hayo yanaweza kusababisha maafa.
Mmmoja
wa waaadhilika wa korongo hilo bwana Pankrias Kapinga alisema kuwa mvua hizo zinatishia kusomba nyumba yake pia ameiomba serikali kuweza
kulinyoshea korongo njia yake ya awali
ili kupunguza maafa yatakayo weza ujitokeza.
Ofisa
afya na mazingira wa wilaya hiyo Bwana
Teodory Mlokozi alisema kutokana na
uharibifu mkubwa wa mazingira uliofanywa na
watu katika milima ya kibodyani
kutokana za shughuli za
kibinadamu zimepelekea maji kuporomoka
kutoka katika milima hiyo kwa msukomo mkubwa na kusababisha maji kupasua njia zingine na kuingia katika
makazi ya watu.
Mlokozi
pia alisema mabadiliko ya tabia ya
nchi na uharibifu wa mazingira unaondelea katika wilaya ya Mpwapwa umekuwa ni chanzo cha korongo hilo
kuzidi kuendelea kuongezeka mwaka
hadi mwaka.
Maje alisema kuwa halmashauri hiyo inakabiliwa na
chanagamoto kubwa ya kukosa pesa ya kukabiliana na shughuli hizo hivyo amewaomba wadau
kushirikiana na halamashauri hiyo kuweza kunusuru maafa yanayoweza kujitokeza kipindi hiki cha mvua.
Comments
Post a Comment