Popular posts from this blog
HISTORIA YA MPWAPWA HATARINI KUTOWEKA
Na Stephen –noel –mpwapwa. WANANCHI wa wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma wameonyesha wasiwasi wao juu ya vitu vya kihistoria ya wilaya hiyo vilioachwa na wakoloni iko hatarini kutoweka kutokana na sehemu hizo za kihistoria kuto kuhifadhiwa na kulidwa na mamlaka husika. Wakiongea na waandishi wa habari mmoja wa wazee wakongwe wa mji huo bwana Abinoo Mathiasi mkazi wa hazina alisema kuwa miongoni mwa historia hizo ambazo ni njia kuu ya watumwa iliyokuwa ikotokea bara yaani mikoa ya Kigoma na Tabora na kuelekea Bagamoyo na Zanzibar iliyokuwa ikiongozwa na Said Majid TippTip na Abushir ambayo kwa sasa iko mbioni kufutika Mti wa mlumbulumbu ambao kwa sasa umesha anguka na wanachi wameupasua kuni ambapo palichomwa kanisa la Anglikana la kwanza na mfanya biashara ya watumwa mwarabu Abushir kwa vile watu wa eneo hi...
VYUO VYA WATU BINAFSI VYALIA NA SERKALI KUHUSU MIKOPO
Na Siyena Mbuta Mpwapwa Wahitimu wa chuo cha Mifungo na Kilimo Visele Wilayani Mpwapwa Mkoa wa Dodoma wameomba kupatiwa mikopo wakiwa Chuoni pamoja na kupatiwa ajira ya moja kwa moja wanapo hitimu mafunzo yao ya Chuoni. Hayo yamesema na Wahitimu wa chuo kilimo na mifugoVisele katika mahafali yao ya kwanza katika Chuo kuwa wanapokuwa chuo wanashindwa kuwatembelea na kuwaelimisha wafungaji na wakulima kutokana na kuto kuwa na usafiri kwa mfano magari na pikipiki. Pia wamesema kuwa wapatiwe mikopo ili waweze kujimudu katika kazi zao na kuwapatia elimu ili wawe wafungaji na wakulima bora na waendane na wakati wa kisasa. Aidha mkuu wa chuo hicho Bi JEROME BAHEMU amesema katika chuo chake anakumbanana na tatizo la wanachuo kuto kutokuwa na mkopo ya mafunzo juu ya kozi zao kitu kinacho wapelekea wanashindwa kufanya kazi zao, vilevile na wameomba kupatiwa ajira kwa wanachuo wake ya moja kwa moja kama vilivyo kuwa vyuo vingine hapa nchini Chu...
Comments
Post a Comment