VITA YA UHARIBIFU WA MAZINGIRA NI ZAIDI YA UGAIDI.
      Hii ni miongoni mwa nyumba za mwanzo am[o baba wa taifa marehemu Nyererealikuwaakifanyia mikutano yake humo ikombioni kusomwa na maji kutokana na uharibifu wa maxingira.  VITA YA UHARIBIFU WA MAZINGIRA NI ZAIDI UGAIDI.    MAZINGIRA ni uhai,Mazingira ni vitu vyote vinavyo tuzunguka vyenye na uhai na visivyo na uhai, vitu vyenye uhai ni  mimea na wanyama na visivyo uhai  ni pamoja na hewa  ardhi na  maji, mazigira yanahusisha vitu vyote kuendelea na kuwepo kwa viumbe vingine.    Maisha ya viumbe vilivyopo na vijavyo utegemea   mawasiliano mazuri kati ya mazingira  watu na,uhai, uhuru na usatawi wa taifa letu la sasa hutegemea sana maisha yanayo tuzunguka, leo hii uharibifu wa mazingira umekuwa ni  nitishio kubwa la uhai wa binadamu na mataifa mbalimbai ulimwenguni.   Mabadiliko ya tabia ya nchi ni tishio la usalama wa maisha kama ilivyo kwa ugaidi  na vita,  sote tumekuwa mashaidi njisi tunavyoshuhudia njisi mvua zimeendele...