AFUGWA JELA KWA PASI YA MKAA YA SHILINGI 2000.
Mahakama
ya hakimu mkazi ya wilaya ya Mpwapwa
mkoa wa Dodoma imemuhukumu kifungo cha mwaka 1 jela
mwalimu wa shule ya msingi
Mtamba kata ya rudi wilaya ya Mpwapwa kwa kosa la pasi ya uwizi
ya shilingi 2000/=
Kesi
hiyo iliyokuwa kesi ya rufaa kutoka katika mahakama ya Mwanzo Chipogolo na ikisikilizwa na hakimu mkazi wa mahakama
ya wilaya bwana Paskal Mayumba.
Mtuhumiwa
huyo ambae alikuwa ni mwalimu wa shule
ya msingi Mtamba alidaiwa kutuhumiwa kwa
kosa la kuvunja na kuiba mali kadhaa za
Bi Zena Hoseaikiwa ni radio moja ,pasi
ya mkaa na na una kilo kumi.
Hakimu
Mayumba alisema kuwa mtuhumiwa huyo alifanya kosa hilo kinyume na
kifungu cha sheria namba 273 C ya kanuni ya adhabu sura namba16
“Kwa mujibu wa kifungu hicho sheria ambacho kinatamka wazi kuwa kama mtu
aliyepatikana na hati na kuvunja na kuiba
ni mika 14 jela kwa kosa la kuvunja na miaka7”aliieleza mahakama hakimu
Mayumba.
Akipewa
nafasi ya kujitete mtuhumiwa hayo aliomba
mahakama ipunguzie adhabu kwa kuwa ana majukumu ya serikali pia na familia yake
ikiwemo wazazi wake na watoto wa ndugu
zake ambao anawasomesha na wanamtegemea
pia ni kosa lake la kwanza.
Hakimu
Mayumba alisema kutokana na mwenendo wa kesi “hivyo
mahakama inakufunga mwaka 1 jela .”aliongea hakimu Mayumba.
Na
alisema kwa mtu yeyote ambae hajaridhika na adhabu hiyo ana haki ya kukata rufaa ndani ya siku thelathini.
Comments
Post a Comment