Posts

Showing posts from August, 2012

AL-SHAABAB KUUWANA WENYEWE KWA WENYEWE

Image
68 Maoni Chapisha Baruapepe Panga upya Uamuzi wa Al-Shabaab wa kuwaua wanachama wake watatu kwa tuhuma za kupeleleza kwa ajili ya serikali za kigeni kunaonyesha ukosefu wa imani ndani ya vyeo vya kikundi cha wapiganaji, wachambuzi wa kisiasa na waangalizi wanasema Mpiganaji wa al-Shabaab amesimama akilinda wakati mamia ya wakazi wakiangalia adhabu ya kukatwa viungo hadharani. Al-Shabaab hivi karibuni iliwaua wanachama wake watatu kwa tuhuma za kupeleleza kwa niaba ya serikali za kigeni. [Mustafa Abdi/AFP] Makala zinazohusiana Al-Shabaab imezingirwa na mivutano mikubwa ya ndani Zawadi zaongeza mgogoro wa ndani miongoni mwa al-Shabaab, wachambuzi asema Kuyumba kwa al-Qaeda kunatokana na vifo kadhaa miongoni mwa viongozi wake Ujumbe wa al-Zawahiri waonekana kama njia ya kutaka kuvutia macho kwengine nyaraka za bin Laden Al-Shabaab ilisema watu watatu -- Ishaq Omar Hassan,miaka 22, Yasin Osman...

MBINU CHAFUJUU YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI MPWAPWA

Imeanika kuwa kuna mkakati mbaya wa  kumuondoamadarakani mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya mpwapwa  kwa kile kinacho daiwa ni upendeleo  na kushidwa kuongoza na kutumia ubabe na kuwalinda watumishi wa halmashauri hiyo.      Hal  hiyo imegunduliwa na mwandishi wa blog hii wilayani  mpwapwa alipo jaribu kufanya  uchunguizi wa swala hili lililo enea miongoni mwa  madiwani wa halmashauri hiyo juu yakumuondoa mwenyekiti huyo kwa sababau za kisiasa zaidi.     Kikieleza chanzo chetu kimedai kuwa msukumo huo unatoka kwa  mmoja wakigogo wakisiasa wilayani hapo na wmwenye wadhifa wa naibu waziri  kwa madai ya kuwa kushidwa kuelewana na mwenyekiti huyo    Adha  chnzo hicho kimeongeza  kuwa  mkakati huoulio shilkiliwa na baadhi ya madiwani wawili juu ya kuwashawishi  madiwani wnzao ili waweze kutia saini ya kuto kuwa na imani ya mwenyekiti huyo.       Tena wameongeza kuwa  sa...

TAMBO ZA UDIWANI ZASHIKA KASI KATA YA MPWAPWA MJINI

Na   noel Stephen Mpwapwa WiTo umetolewa kwa wananchi wote wilayani   mpwapwa mkoa wa Dodoma   kuweza kumchagua mtu kutokana   na sera zake na chama chake bali   kuachana na hatua za kumchagua mtu   kwa kufuata mazoe   ya chama . WiTO huo umetolewa na Katibu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo   CHADEMA   FABIAN MOKE   alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jana    juu kichanag`anyilo cha udiwani kata ya mpwapwa   mjini utakao fanyika   sept 30 mwaka huu. MOKE alisema kuwa   kuna mazoea ya wananchi ya kuchagua   mtu kwa sababu anatoka kwenye chama Fulani bila kupima uwezo wake wa   kujieleza kujenga hoja na kuweza kuwatetea wanachi wanyonge wanaokandamizwa   na utawala wa chama TAWALA. Aidha moke   alidai kuwa kwa wilaya ya mpwapwa nzima hakuna diwani wa chama cha upinzani ndio maana madiwani wa chama hicho kuweza   kubuluzwa na watendaji wa Halmashauri hiyo na kusahau kazi yao ya ...

TAMBO ZA UDIWANI ZASHIKA KASI KATA YA MPWAPWA MJINI

  Na noel Stephen mpwapwa Imeelezwa   kuwa   wakina mama wa   kijiji cha   iyoma hutembea mda wa masaa mawili hadi matatu kwenda kutafuta maji   ya matumizi mbalimbali ya nyumbani. Lai hiyo imetolewa na wanakiji hao kwenye mkutano wa hadahara   na mkuu wa wilaya hiyo   Christopher Kangoye alipokuwa akiongea na wanakijiji hao   juu uzalishaji wa kipato na utunzaji wa mazingira wilayani mpwapwa. Wanakijiji hao walisemakuwa maendeleo yote hapa   nchini katika sehemu mbalimbali hutegemea nishati ya   maji na umeme   kitu walichokisma kuwa kijiji hicho hakitaweza kupata maendeleo yale yanayotakikakana kutokana   na nguvukazi nyingi na wazalishaji wakubwa ambao nia akina mama wana tumiamuda mwingi katika kutafuta maji   ambapo huwalazimu kila siku   kuamuaka saa kumi za alfajili kwenda kutafuta maji   kituwalicho kisemakuwa   kina hatarisha   maisha yao na y a watoto wao wa kike, Akiongea mmoja wa wana...

MKU U WA WILAYA AMFUKUZA KAZI AFISA UGANI.

 Katika hali isiyoya kawaida mkuu wa wilaya ya mpwapwa Christopher Kangoye  amesema kuwa hapendi kumuona  afisa ugani katika wilaya yake kwa kushidwa kujibu swali alilo muliza .      H ali hiyo imetokea  hivi karibuni katika kijichaiyoma mala baada ya afisa ugani huyo bwana SPRIAN SANKIRA kushidwa  kijibu swali la  kuwa katika hekta moja  ya ufuta  kunaweza kutoa mazao ya kiasi gani cha ufuta  ambapo alijibu kuwa inaweza kutoa tani 1.5,    Baada kujibiwa vile mkuu wa wilaya huo aliwalika na kumjia juu  kuwa afisa ugani huyo ni mzigo wa wilaya na hawezi kazi na hivyo  hawezi  kuendelea kumuona akifanya kazi katika wilaya yake na atafute sehemu ya kwenda kufanya kazi na sio wilaya anayo iongoza yeye.     Kwa upande wake afisa ugani huyo alisema kuwa hicho sio sababu ya kumuhamisha kituo cha kazi   bali alisema kuwa  ni chuki binfsi  wanasiasa hasa kata aliyo ku...

KIJIJI CHAKOSA HUDUMA ZA MAJI KWA MIAKA KUMI.

  Na   noel Stephen mpwapwa   Imeelezwa   kuwa   wakina mama wa   kijiji cha   iyoma hutembea mda wa masaa mawili hadi matatu kwenda kutafuta maji   ya matumizi mbalimbali ya nyumbani. Lai hiyo imetolewa na wanakiji hao kwenye mkutano wa hadahara   na mkuu wa wilaya hiyo   Christopher Kangoye alipokuwa akiongea na wanakijiji hao   juu uzalishaji wa kipato na utunzaji wa mazingira wilayani mpwapwa. Wanakijiji hao walisemakuwa maendeleo yote hapa   nchini katika sehemu mbalimbali hutegemea nishati ya   maji na umeme   kitu walichokisma kuwa kijiji hicho hakitaweza kupata maendeleo yale yanayotakikakana kutokana   na nguvukazi nyingi na wazalishaji wakubwa ambao nia akina mama wana tumiamuda mwingi katika kutafuta maji   ambapo huwalazimu kila siku   kuamuaka saa kumi za alfajili kwenda kutafuta maji   kituwalicho kisemakuwa   kina hatarisha   maisha yao na y a watoto wao wa kike, Akiongea...

MADIWANI WAGOMEA KIKAO KISA AGENDA ZIMEKOSEWA

Na   noel Stephen Mpwapwa Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya mpwapwa mkoani dodoma wamezikataa agenda za vikao vya baraza hilo kwa madai ya agenda hizo kuwa   zimekosewa kuandaliwa na watendaji wa halmashauri   ya mpwapwa Hali hiyo imejitokeza   mwishoni   mwa   wiki   katika   kikao cha baraza la madiwani wilayani mpwapwa   mala baada tu ya mwenyekiti wa halmashauri hiyo kufungua kikao     na kuwataka madiwani hao kuweza kupitisha   agenda za   kikao   ndipo diwani   wa kata ya kimagai bwana MATURUH    KUCHELA   kuomba muuongozo wa mwenyekiti    juu   ya uandaaji wa   wa taarifa ya kikao cha mwisho   wa mwaka kuwa agenda zilizo andaliwa zilikuwa zimekosewa. Bwana kuchela alidai kuwa kwa mujibu wa kanuni za halmashauri   ya wilaya ya mpwapwa inamtaka   mkurungenzi kuwapatia   madiwani kablasha   siku   saba kabla ya   kikao kufanyika lakin...

WALIMU WAUNGA MKONO MGOMO KWA ALMIA 98.4 MPWAPWA

Na   noel Stephen mpwapwa 30 julai 2012   Asilimia 98.4 ya walimu wote wa wilaya ya mpwapwa waunga mkono mgomo wa walimu unaoendelea kote nchini   wakati asilimia 1.6 hawakubaliani na mgomo huo.   Ni kauli   iliyo tolewa na mwenyekiti wa chama cha walimu wilayani   mpwapwa   Bi NELEA NYANGUYE mkoani dodoma   alipokuwaakiongea na waandishi wa habari   ofisi kwake juu ya kutoa msimo   wa chama hicho juu   mgomo wa walimu wote katika wilaya ya mpwapwa. Bi nyanguye   alisema kufuatia   kauli ilioyo tolewa na   Raisi wa chama hicho taifa   wilaya ya mpwapwa imeunga mkono kwa asilimia   98.4 mgomo huo   kwa kuishinikiza serikali kuwalipa haki zao za msingi kama watumishi wa serikali . Aidha bi Nyanguye alisema kuwa   kufuatia   kifungu cha 80 kipengele kidogo cha (1)d   cha sheria ya mahusiano kazini   ya mwaka   2004   walimu ambao ni wanachama wa CWT walianza zoezi la kupiga...

KIKOSI CHA USALAM CHA WANAWAKE CAANZISHA UPYA

Image
+ Toa maoni sasa Chapisha Baruapepe Panga upya Kambi ya kikosi cha polisi cha huduma za haraka ambacho kinafanya kazi pamoja na jeshi kupambana na ugaidi na kutoa usalama wa hali ya juu kwa maofisa nchini Somalia kilifunguliwa tena katika wilaya ya Wardhigley huko Mogadishu wiki iliyopita. Ofisa wa polisi wa serikali ya Somalia akiweka ulinzi wakati msafara wa Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia ukipita Mogadishu mwezi tarehe 23, Februari 2012. [Na Mustafa Abdi/ AFP) Makala zinazohusiana Umoja wa Afrika wapitisha mkakati mpya wa kupambana na al-Shabaab Wasanii wa Somalia warejea Mogadishu baada ya kutokuwepo kwa muda mrefu. Serikali ya Somalia yaikaribisha ofisi ya UN mjini Mogadishu Kitengo cha The Darawish asili yake kilianzishwa na Jenerali Mohamed Siad Barre miaka ya 70 kama kikosi cha taifa cha jeshi la polisi; kikaacha kufanya shughuli zake wakati wa vita vya wenyewe kwa wenye...

BUNGE LA SOMALIA LAPANAGA

Image
+ Toa maoni sasa Chapisha Baruapepe Panga upya Bunge la Taifa la Katiba ya Somalia (NCA) lilifungua siku yake ya sita hapo Jumatatu (tarehe 30 Julai) ambapo wajumbe waliahidi kutochelewesha zaidi wakati wanafanya kazi kuelekea uidhinishaji wa rasimu ya katiba ifikapo tarehe 2 Agosti, kwa mujibu wa Redio Mogadishu. Wajumbe wakihudhuria sherehe za ufunguzi wa mkutano wa Bunge la Taifa la Katiba tarehe 25 Julai. [Na Mahmoud Mohamed/Sabahi] Makala zinazohusiana Bunge la Katiba la Somalia lakutana Mogadishu Viongozi wa Somalia wakubaliana na ratiba ya kumaliza kipindi cha utawala wa mpito Mkutano wa Mpango Mkuu wa Somalia wafungwa Addis Ababa Wajumbe 825 walikutana tarehe 25 Julai katika Chuo cha Polisi Mogadishu na kuanzia hapo kukutana kila siku isipokuwa ucheleweshaji wa muda siku ya Ijumaa kutokana na sababu za kiufundi na shambulio la kombora karibu na hapo. Hakuna aliyejeruhiwa katika mlipuko ...

AL-SHABABU WAUWANA WENYEWE KWA WENYEWE KUOGOPA KUSALITIANA

Image
a serikali za kigeni kunaonyesha ukosefu wa imani ndani ya vyeo vya kikundi cha wapiganaji, wachambuzi wa kisiasa na waangalizi wanasema Mpiganaji wa al-Shabaab amesimama akilinda wakati mamia ya wakazi wakiangalia adhabu ya kukatwa viungo hadharani. Al-Shabaab hivi karibuni iliwaua wanachama wake watatu kwa tuhuma za kupeleleza kwa niaba ya serikali za kigeni. [Mustafa Abdi/AFP] Makala zinazohusiana Al-Shabaab imezingirwa na mivutano mikubwa ya ndani Zawadi zaongeza mgogoro wa ndani miongoni mwa al-Shabaab, wachambuzi asema Kuyumba kwa al-Qaeda kunatokana na vifo kadhaa miongoni mwa viongozi wake Al-Shabaab ilisema watu watatu -- Ishaq Omar Hassan,miaka 22, Yasin Osman Ahmed,miaka 23, na Mukhtar Ibrahim Sheikh, miaka 33 -- walikuwa wanapeleleza kwa ajili ya Shirika la Upelelezi la Marekani na Shirika la Upelelezi la Uingereza MI6. "Hassan na Ahmed wote wawili walihusika na vifo vya Bilal al-Berjawi na wengine watatu [wanachama wa...

mpango wa serkali waleta nafuu kwa wafugaji kenya

Image
rikali unaotoa mifugo kwa familia zilizopoteza wanyama wao wakati wa ukamu wa mwaka jana. Msichana akichunga mbuzi wake kaskazini ya Nairobi. Serikali ya Kenya imenunua mifugo kwa wachungaji ili kuwasaidia wale walioathirika na ukame. [Na Tony Karumba/AFP] Makala zinazohusiana Wachungaji Kaskazini Mashariki ya Kenya wahamasishwa kuelekea kilimo Kenya yakumbana na uhaba wa mazao kutokana na ukame unaoendelea Mahakama Kuu Mpya huko Garissa yaboresha raia kupata haki Kwa mujibu wa mafisa wa serikali, familia 79,041 zilisaidiwa kupitia mpango huu, uliomalizika mapema mwezi huu. Waliofaidika nao waliiambia Sabahi kuwa mpango huo utawasaidia kuanza upya maisha yao. Fatuma Ali Hassan, mkazi wa Wilaya ya Wajir mwenye umri wa miaka 52, alisema familia yake ya watu wasita iliporomoka baada ya kupoteza ng'ombe wake 87 kutokana na ukame. "Tulikwishapoteza matumaini yote baada ya kupoteza chanzo chetu pekee cha kutupatia riziki mpaka pale se...