Posts

MAENDELEO YA MPWAPWA YAMNYIMA USINGIZI DC,AWATAKA WACHIMBAJI WALIPE KODI.

Image
SERIKALI wilayani Mpwapwa Mkoni Dodoma imewataka wachimbaji wadogo wa madini   Kuweza kulipa kodi ya   serikali ili kuweza kufikia Tanzania ya Viwanda na uchumi wa kati   ifikakapo 2015. Kauli hiyo ilitolewa jana na Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa bwana Jabir Shekimweri   alipokuwa akifunga   mafunzo ya siku moja yaliyo andaliwa na shirika la wachimbaji madini Wanawake Tanzania(TAWOMA) Shekimweri alisema kuwa kuwa Mpwapwa pamoja na kujaliwa   madini ya aina nyingi na yadhamani lakini wilaya hiyo aiendani   na maendeleo yalikuwanayo   kitu alichosema kuwa kinatokana   na matumizi mabaya ya rasilimali hizo au usimazi mbovu wa rasilimali hizo   au matumizi mabaya mali hizo ambayo ni za watanzania wote. ALISEMA “ukiangalia Mpwapwa haiendanani na hostoria   ya wilaya hiyo kimaendeleo japo kuwa na kuwa na Neema ya wilaya   hiyokujaliwa   vitu vingi sasa nataka mlipe kodi ya serikali ilitufikie uchumi wa viwanda na uchumi ...

WANANCHI WAMKATA MAPANGA MTUMISHI WA HALMASHAURI,KISA KIPINDUPINDU.

Jeshi la polisi wilaya   Mpwapwa Mkoani Dodoma   linawashilikia watu wanne   wa kitongoji cha Isalaza kijiji cha Igoji II   kwa tuhuma za   kumjeruhi mtumishi wa Idara ya afya   halmashauri ya wilaya bwana   Yusuph Ridhiwani ofisa afya akiwa kazini . Tukio hilo    lilitokea march 03 mwaka huu katika kitongoji cha   Isalaza kijiji cha Igoji ii   wilaya ya Mpwapwa na mkoa Dodoma   baada ya   maofisa afya   wa halmasahauri ya wilaya ya Mpwapwa kwenda kwenye oparasheni ya kudhibiti kipindupindu. Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma bwana Giles Mroto amethibisha kutokea kwa kutukio hilo    na amesema chanzo cha   mtumishi huyo kujeruhiwa na siraha za jadi ilikuwa ni   waananchi kuto taka kusumbuliwa katika oparesheni ya kuzuia kipindupindi   ambapo kwa Mpwapwa ugonjwa huo umedumu kwa zaidi ya miezi mitano sasa tangu uingie mwezi nov mwaka jana. Akiwataja watu wanaoshikiliwa na jeshi alise...

WAHAMIAJI HARAMU WAKAMATWA DODOMA.

Image
Jeshi la polisi mkoani Dodoma limekamata wahamiaji haramu 64 ambao ni raia wa Ethiopia pamoja na madereva wawili waliokamatwa katika eneo la Chenene wilayani Chamwino mkoani Dodoma wakitokea nchini Kenya kuelekea nchini Afrika kusini . Watu hao walikamatwa walikuwa kwenye roli lilosheheni mabox ya maji kwa ajili ya kuwaficha wahamiaji hao ambapo wamekutwa wakiwa na kiasi cha   fedha taslimu zaidi ya shilingi milioni 5. kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Gilles Muroto amesema wahamiaji haramu wamekuwa wakitumia mbinu mbalimbali za udanganyifu ambapo amewataka wananchi kuendelea kutoa taarifa za wahamiaji haramu wanaoingia nchini. Peter Kundy ni Naibu Kamishna wa Uhamiaji mkoa wa Dodoma amesema jeshi la uhamiaji mkoa wa Dodoma limejipanga katika kukabiliana na tatizo la uhamiaji haramu linaloonekana kushika mkoa wa Dodoma hapo. Kutokana na hayo wito unatolewa kwa wananchi kuendelea kutoa taarifa za uwepo wa wahamiaji haramu nchini ili kudhibiti kitendo hicho. ...

TANZANIA YA KESHO INATISHIWA NA WIMBI LA WATOTO WA MITAANI.

IMEELEZWA kuwa   tunaweza kuitengeneza Tanzania ya kesho kwa kuwekeza   katika masalahi mapana ya watoto kimaadili,kiuchumi ,kielimu. Kauli   hiyo ilitolewa na   mkurugenzi mtendaji wa kituo   cha kompasheni namba TZ 236 KKKT   bwana Mboka Mwaipopo alipkuwa akiongea na waaandishi wa habari   ofisi kwake   hivi karibuni. Bwana Mboka alisema kuwa kumekuwako na vituo hivyo vilivyo anzishwa chini ya makanisa   vikiwa na lengo la kuwalea watoto katika Nyanja za kielimu, kiroho na   kiuchumi ili   waweze kuwa wazalishaji na    kuwezesha kuifikia Tanzania viwanda . Aidha Mboka alisema   kuwa siku zinavyo zidi   kusonga mbele kuna kunazidi kuongezeka kwa watoto wanaojulikana kama watoto wa mitaani kitu alicho kisema kuwa kinatishia ustawi wa taifa lolote siku za mbeleni. “Hiki ni kizazi cha watanzania wa Tanzania ya   kesho tukiendelea kuwaita watoto wa mitaani   tutambue kuwa Tanzania ya kesho n...

KIPINDUPINDU CHAUA 8 MPWAPWA .

  JUMLA   ya watu   8 wameafiriki dunia kutokana na ugonjwa wa kipindu pindu na wengine 189 wamegundulika kuumwa   ugonjwa huo katika wilaya ya Mpwapwa mkoa wa Dodoma tangu ugonjwa huo ulipotiwe kuingia wilayani humo nov 2017 . Mganga mkuu wa wilaya hiyo Dkt Said Mawji aliyasema hayo alipokuwa akitoa taarifa katika kikao cha baraza la madiwani mjini Mpwapwakilicho fanyika hivi karibuni. Mawji alisema   kuwa mgonjwa wa kwanza   aligundulika   octoba      mwaka jana   akitokea kata ya Chipogoro   na wagonjwa wengine waliendelea kujitokeza kutoka katika kata mbalimbali hadi kufikia wagonjwa   189 tangu ugonjwa huo uanze hadi sasa. Aliongeza kuwa   hadi kufikia feb   mosi mwaka huu kulikuwa na wagonjwa wapya 14 ndio waliolio lazwa   katika kambi maluum   ya kuwashughulikia   wagonjwa   wa kipindupindu . Aidha alisema   chanzo kikubwa cha ugonjwa huo katika kata hizo ni kutokan...

JAFFO ATOA MIEZI MINNE KWA WATUMISHI IDARA YA MAJI.

Image
Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo ametoa miezi minne kwa mamlaka zote za maji nchini kuhakikisha zinafunga dira za maji kwa wateja wake wote kwa asilimia 90 na kuwa na miundombinu ya kutibu maji watakaoshindwa kufikia hapo watachukuliwa hatua. Waziri jafo ametoa agizo Hilo mjini Dodoma wakati akizindua ripoti ya utendaji wa mamlaka za maji za makao makuu ya wilaya na miji midogo nchini na ku sema hakuna sababu ya watu hao kuendelea kuwepo kama watakuwa wameshindwa kufikia asilimia 90 katika kufunga dira za maji. Amesema baada ya kipindi hicho cha miezi minne kupita na ikatokea kuna mamlaka ambayo haijafunga dira ya maji atavunja bodi ya mamlaka hiyo na kumfukuza kazi meneja wake kwa kushindwa kutimiza masharti hayo. Amesema hatua hiyo imefikiwa ili kudhibiti wizi wa maji ambao unafanywa na baadhi ya wateja kwa kushirikiana na baadhi ya watendaji wa mamlaka za maji ambao siyo waamifu na hivyo kusababisha mamlaka hizo za maji kujiendesha kwa hasara. Kaimu mkuru...