SALAMU KWA WAPENZI WA BLOG YA MPWAPWA HABARI.

NDUGU ZANGU WAPENZI WA BLOG  YA MPWAPWA  HABARI NAPENDA KUWASHUKURU KWA MAONI YENU JUU YA BLOG HII,  ILA NAPENDA KUWA DHIBITISHIA  KUWA NIMEJIPANGA UPYA KUBORSHA HUDUMA HII KUWAONGEZEA  MAMBO HAYA  AMBAPO KUANZIA  WIKI HILI KUTAKUWA NA UKURASA  WA MAHUSINO UTAPATA  TIPS ZA KUBORESHA MAHUSIANAO YAKO KATI YAKO NA MWENZI WAKO.MCHUMBA  NA MUMEO/MKEO.PIA NAWALETEA  UKURASA JUU MASWALI MENGI YANAYO ULIZWA NA VIJANA WENGI KUHUSU KUINGIA UTU UZIMA , MTAPATA MAJIBU YENU,PIA WAPO WALIOLALAMIKIA  KUWA HAWAIONI SEHEMU YA KUANDIKA COMMENT, KWANZA ANGALIA  HABARI UNAYO ITAKA KISHA NENDA SEHEMU ILIYO ANDIKA"0comment" ponyeza hapo utapata kibox  cha  kutolea maoni yako.  asanteni sana na karibu sana .

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA MPWAPWA HATARINI KUTOWEKA

MAANA YA JINA MPWAPWA

DC KIZIGO ATOA MAAGIZO KWA KWA MAAFISA ELIMU KUKABILIANA NA UKATILI MASHULENI.