Posts

UMATI WAJITOKEZA KUWAZIKA NDUGU WA FAMILIA MOJA WALIOFARIKI KWA MAJI.

Image

MKINZANO WA SHERIA KIKWAZO UHARIBIFU MAZINGIRA MPWAPWA.

  Na Stephen Noel. mpwapwa .   MKUU wa wilaya ya Mpwapwa   mkoani Dodoma   bwana Jabir Shekimweri   amesema mkinzano mkubwa uliopo kati ya sheria mama ya mazingira   ya mwaka   2004 na   sheria ndogo ya halmasahauri ya wilaya hiyo ni miongoni mwa sababu zinazo fifisha   harakati za kupambana na uharibifu wa mazingira wilayani hapa. Shekimweri ameyasema hayo mjini hapa alipokuwa akifanya mahojiano maluum majira juu ya hakarakati na mkakati uliopo kwa wilaya ya mpwapwa juu ya uharibifu wa mazingira   na matokeo yake.   Shakimweri amesema kuwa   sheria ya mama ya mazingira   mwaka ya   mwaka 2004   inayo mtaka   mharibifu wamazingira   anapo patikana na hatia   anahukumiwa kifungo cha   cha miezi sita   hadi mika miwili jela au faini ya shilingi   50,000/= hadi   million 50,000,000/= au vyote viwili kwa pamoja. Aidha amesema kuwa sheria ndogo ya halamasahauri hiyo ina...

ASKOFU KINYAIA AWAASA WATANZANIA.

Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo kuu la Dodoma Mhasahamu askofu Beatus Kinyaia   amewataka watanzania kuto kukubali kufa kizembe kwa kungangania   mazoea   ya kuto kupanda mazao yanayostahimili ukame katika kipondi hiki cha mabadiliko ya Tabia ya hali ya hewa. Askofu   alizungumza   hayo jana   jumapili ya januari Mosi 2017wakati   wa misa katika   Kanisa la Bikira   maria   wa Fatima kanisa la hija   katika Parikia ya Mpwapwa . Kinyaia   amesema haridhishwi na tabia ya baadhi ya watanzania wengi   kuendelea kung’ang’ania   mazoea ya kuto kukabiliana na ushauri wa watalaam na maafisa kilimo kuwataka kupanda mazao yanayoweza kukomaa mapema   na yanayoweza kustahimili ukame   ili kuweza kupata tija ya kilimo chao Aidha Askofu   Kinyaia   alisema “siku za hivi karibuni   mamlaka ya   ya utabili wa hali ya hewa imetangaza kuwa katika kipindi hiki cha   msimu wa mv...

Mpango wa PWP TASSAF MPWAPWA UTASAIDIAMAZINGIRA

Imeelezwa    kuwa    shughuli za   ajira muda zilizofanywa na walegwa wa mpango wa kaya maskini TASAF awamu ya tatu kama kutunza Misitu ya asili,uvunaji wa maji ya mvua, na utunzaji wa udongo,ikitumika inavyopaswa itaweza kuleta mabadiliko   chanya kwa   jamii   na kuweza kujiletea maendeleo endelevu. Kauli hiyo ilitolewa na Mratibu wa Tassaf wa halmasahauri ya wilaya ya Mpwapwa Bwana Paskal Jeremia   alipokuwa akiongea   na waandishi wa habari ofisini kwake juu tadhimini   ya utekelezaji wa mpango wa ajira za muda zijulikanozo kama (PWP)kwa wanufaika wa mpango huo wilayani hapa Jeremia alisema   rasilimali hizo kama ujengaji wa miundo mbinu ya   kuvuna maji ya mvua, wa   utunzaji wa misitu, na   uhifadhi wa   udongo   ngazi ya jamii italeta mabadiliko   kuwa   mazuri   zaidi   na jamii kuweza kujiletea   maendelea endelevu katika maeneo yao yanayoishi . Aidha ...

POLISI MPWAPWA YAKABILIWA NA UHABA VITENDEA KAZI.

Image
Na Stephen noel mpwapwa. JESHI la polisi wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma linakabiliwa na upungufu  mkubwa wa vityendea kazi ikiwemo magari na pikipiki kitu kinachopelekea jeshi hilo kushidwa kuwahi katika  matukio ya kiuharifu. Kauli hiyo  ilitolewa jana na Mrakibu wa polisi   bwana Paulo Ngonyani mkuu wa kitengo cha Intelinjesia mkoani Dodoma  alipokuwa  katika hafla ya kukabithiwa Pikipiki mbili zilizonunuliwa na wadau wa polisi wa wilayani  Mpwapwa kwa lengo la kupambana  na uharifu wilayani hapa. Bwana Ngonyani alisema katika jeshi la polisi limekuwa likilalamikiwa sana na wanajmii kuwa wamekuwa wakichelewa kufika katika matukio ya kiuharifu kutokana na kukabiliwa na chanagamoto kubwa ya ukosefu wa vitendea kazi kama vyombo vya usafiri,pamoja na mafuta Aidha Ngonyani  alisema  kwamba  ili kuimarisha dhana ya polisi jamii wameamua kuwashirikisha wadau  wa maendeleo katika wilaya husika...
Imeelezwa    kuwa    shughuli za   ajira muda zilizofanywa na walegwa wa mpango wa kaya maskini TASAF awamu ya tatu kama kutunza Misitu ya asili,uvunaji wa maji ya mvua, na utunzaji wa udongo,ikitumika inavyopaswa itaweza kuleta mabadiliko   chanya kwa   jamii   na kuweza kujiletea maendeleo endelevu. Kauli hiyo imetolewa na Mratibu wa Tassaf wa halmasahauri ya wilaya ya Mpwapwa Bwana Paskal Jeremia   alipokuwa akiongea   na waandishi wa habari ofisini kwake juu tadhimini   ya utekelezaji wa mpango wa ajira za muda zijulikanozo kama (PWP)kwa wanufaika wa mpango huo wilayani hapa Jeremia amesema   rasilimali hizo kama ujengaji wa miundo mbinu ya   kuvuna maji ya mvua, wa   utunzaji wa misitu, na   uhifadhi wa   udongo   ngazi ya jamii italeta mabadiliko   kuwa   mazuri   zaidi   na jamii kuweza kujiletea   maendelea endelevu katika maeneo yao yanayoishi. Aidha ...