POLISI MPWAPWA YAKABILIWA NA UHABA VITENDEA KAZI.
Na Stephen noel mpwapwa.
JESHI la polisi wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma linakabiliwa na
upungufu mkubwa wa vityendea kazi ikiwemo magari na pikipiki kitu
kinachopelekea jeshi hilo kushidwa kuwahi katika matukio ya
kiuharifu.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Mrakibu wa polisi bwana Paulo Ngonyani
mkuu wa kitengo cha Intelinjesia mkoani Dodoma alipokuwa katika
hafla ya kukabithiwa Pikipiki mbili zilizonunuliwa na wadau wa polisi
wa wilayani Mpwapwa kwa lengo la kupambana na uharifu wilayani hapa.
Bwana Ngonyani alisema katika jeshi la polisi limekuwa likilalamikiwa
sana na wanajmii kuwa wamekuwa wakichelewa kufika katika matukio ya
kiuharifu kutokana na kukabiliwa na chanagamoto kubwa ya ukosefu wa
vitendea kazi kama vyombo vya usafiri,pamoja na mafuta
Aidha Ngonyani alisema kwamba ili kuimarisha dhana ya polisi jamii
wameamua kuwashirikisha wadau wa maendeleo katika wilaya husika
kuweza kusaidiana kuzikabili changamoto zinazo likabili jeshi la
polisi kwa lengo la kukomesha uharifu katika jamii na kuhakikisha
jamii inaishi kwa amani na utulivu.
Kwa uapande wake mkuu wa polisi wilayani Mpwapwa marakibu wa Polisi
Bwana Hussen Mdoe Mdoe alisema wilaya ya Mpwapwa inakabiliwa sana na
uwizi wa mifugo,uuzaji na usamabazaji wa madawa ya kulevya ya
sahambani na viwandani, uharibifu wa mazingira uwizi majumbani na
sehemu za biasahara pamoja na vitendo vya watu kujinyonga au
kujeruana.

Mkuu wa polis Mpwapwa akiongea kwenye hadhara ya kukbidhi pikipki
Mdoe alisema ili kuweza kufikia malengo ya kuifanya Mpwapwa iwe salama
lazima wadau kushirikiana katika kuzitatua changamoto zinazo likabili
jeshi hilo katika wilaya yake.
Pia alisema kutokana na Jografia ya wilaya Mpwapwa kuzungukwa na
milima hivyo inawalazimu polisi baadhi ya maeneo kutembea kwa mguu
kwenda kukabiliana na uharifu sehemu ambapo gari haliwezi kufika kitu
alicho sema kinawachukua muda mrefu na kusababisha kuchelewa kufika
katika matukio.
Mdoe alisema katika Mpango mkakati wao ni kuweza kununua pikipiki
kumi kwa kushirikana na wadau ambazo zitawasaidia polisi kufika
sehemu ambazo gari haliwezi kufika
Mmoja wa wadau wa polisi wilayani hapa Shekh Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa
Mohamed Seif Sabaa aliiwataka polisi hao kuweza kuwa waaadilifu na
kuto kubambikia watu kesi na kuachana na vitendo vya kuendekeza
rushwa ili kuwasaidia watu katika matatizo yao.
Hata hivyo Mgeni Rasmi katika hafla hiyo katibu tawala wa wialaya
ya Mpwapwa Bi Atanasia Kabuyanja aliwapongeza jeshi la polisi
wilayani hapo kwa kuweza kusimamia Amani japo na kukabiliwa na
chanagamoto lukuki.
Bi Kabuyanja alisema suala la kusimamia uharifu si suala la polisi
pekee bali aliwataka wanachi wote wa wialaya ya Mpwapwa kuweza kutoa
taarifa ya vitendo vyote kiuharifu vinavyoa ashiria
Comments
Post a Comment