KIONGOZI MBIO ZA MWENGE ATAKA MIRADI IENDELEZWE MALA BAAD YA MWENGE KUPITA
MWENGE wa Uhuru wazindia
na kuweka mawe ya msingi
kwenye miradi maendeleo yenye
dhamnai ya shiingi billion 1, 380,562,029,72/= wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.
Mwenge huo uliopokelewa kutoka katika wilaya ya Kongwa umezindua miradi mitano na kuweka jiwe la
msingi katika mradi mmoja nyumba ya
walimu ya sita kwa moja katika shule ya
sekondari Matomondo.
Mkuu wilaya ya Mpwapwa Jabil Shakimweri mwenge huo umekimbizwa katika wilaya ya mpwapwa
kwa Umbali wa kilometa 110 na kuzindua
miradi ya maendeleo yenye dhamani ya shilingi billion 1,380,562,029,72/=.
Shakimweri amesema miradi hiyo kuwa ni Nyumba
ya walimu shule ya sekondari Matomondo
yenye uwezo wa kuishi familia sita kwa
nyumba moja ,kufungua mradi ya maji katika kijiji cha Kimagai,Uzinduzi wa Jengo
la vikundi vya ugawaji wa hisa,Josho la Ng’ombe katika kijiji cha
Mangangu,Uzinduzi wa maabara ya kisasa katika
hospitali ya Benjamini Mkapa na
uzinduzi wa kituo cha biashara katika
halmashauri ya Mpwapwa.
Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa bwana George Mbijima amewataka viongozi hao kuweza kusimamia
miradi hiyo ili iweze kuwa tija kwa wananchi na kuweza kuondoa kero zilizo kuwa
zinawakabili wananchi katika maeneo yao kbabla ya kuwapo kwa miradi hiyo.
Mbijima amesema kuwa
endapo kundi kubwa la vijana
wakajikita katika matumizi ya madawa ya
kulevya kuna hatari kubwa ya taifa kukosa watalaamu na vingozi wa badae.
Aidha amesema kuwa kundi kubwa la vijana
ambao ndio nguvu kazi ya kubwa Taifa
wamejikita katika matumizi makubwa ya madawa ya kulevya ambayo yamekuwa
yakiwaathiri kwa kiasi kikubwa
vijana na kushidwa kuwa wazalishaji na
kubaki kuwa tegemezi badala ya kuwa wazalishaji .
Hata hivyo mbijima ameongeza
kuwa kuwa kuna kawaida ya miradi
mingi inayo zinduliwa na mbio za mwenge
kushidwa kuendelezwa mala baada ya
mwenge kupita
Comments
Post a Comment