WAKRISU WAASWA KUMRUDIA MUNGU.
Na
noel Stephen mppwapwa habari za
kanisa
Wakristu
parokiani mpwapwa wameaswa kumuonyesha yesu mfufuka kwa kuikaribia
skramenti ya kitubio kama
alivyo fanya petro.
Wito huo umetolewa na padri GODIAN
SEPINGE kwenye juma pili ya tatu ya pasaka parokiani hapo
alipokuwaakihubiri kwenye misa hiyo mjini mpwapwa.
Padre Sempinge
alisema mama kanisa anatuasa
kumdhihirhsa kristu katika maisha yetu ya kila siku kwa kuijongea
sakramenti ya toba kama
mtume petro alivyo fanya kwa kumakana yesu
na badae aliweza kujirudi na kumrudia na kutangaza habari za ufuko wake.
Aidha padre Sempinge
alisema haitoshi kwa mkristu au kuwa mwanakwaya,moyo mtakatifu wa yesu ,au
rejio maria bila kuwa na maisha ya
toba ya kumdhihirisha kristu mfufuka
kwa jamii inayo kuzunguka kwa kitenda matendo mema .
Pia alisema kuwa wakristu wa
siku hizi hufuata imani za miujiza na kuchana na imani za kweli ambazo alisema
kuwa ni tatizo kubwa ambalo linakaibili dunai kwa sasa na waumini wake .
Mwisho alisema kuwa wakristu wajiimarishe katika kumtambua yesu
wa msalaba na yesu wa mateso kwa kuwa na yesu miongoni mwetu katika kazi
zetu za kila siku.
( 24)22April 2012
Comments
Post a Comment