Jina MPWAPWA ni MHAMVWA ambalo lilikuwa halisi kwa wenyeji WAGOGO na Korongo linalotokea KIkombo kuelekea hadi sehemu inayoitwa KWAMSHANGO, Wajerumani walipo ingia katika Nchi hii walishidwa kutamka jina MHAMVA(mamva) wakaita MPAPUA Waimgeleza nao katika butawala wao walisdhidwa kutamka neno MPAPUA Wakaita MPWAPWA. Wilaya ya mpwapwa ni miongoni wa mwa Wilaya 6sita za mkoa wa DODOMA na inakadiliwa kuwa na wakazi wapatao 296,966, wenye shughuli za kiuchumi za Kilimo cha Mtama Mahindi , Karanga na ALIZETI, Ufugaji kama NG,OMBE za kienyeji Mbuzi Kondoo, na KUKU ,Ambapo wakazi wake ni wa makabila ya WAGOGO,WAHEHE,WASAGARA,WAKAGURU,na WABENA . Mpwapwa ipo umbali wa...
Comments
Post a Comment