Na  noel Stephen mppwapwa  habari za kanisa

 Wakristu  parokiani mpwapwa wameaswa kumuonyesha yesu mfufuka kwa kuikaribia skramenti ya  kitubio kama alivyo fanya petro.

 Wito huo umetolewa na padri  GODIAN  SEPINGE kwenye juma pili ya tatu ya pasaka parokiani hapo alipokuwaakihubiri kwenye misa hiyo mjini mpwapwa.

 Padre Sempinge alisema mama kanisa anatuasa  kumdhihirhsa kristu katika maisha yetu ya kila siku kwa kuijongea sakramenti ya toba  kama mtume petro alivyo fanya kwa kumakana yesu  na badae aliweza kujirudi na kumrudia na kutangaza habari za ufuko wake.

Aidha padre Sempinge alisema  haitoshi kwa mkristu au  kuwa mwanakwaya,moyo mtakatifu wa yesu ,au rejio maria  bila kuwa na maisha ya toba  ya kumdhihirisha  kristu mfufuka  kwa jamii inayo kuzunguka kwa kitenda matendo mema .

Pia alisema kuwa wakristu wa siku hizi hufuata  imani za miujiza  na kuchana na imani za kweli ambazo alisema kuwa ni tatizo kubwa ambalo linakaibili dunai kwa sasa na waumini wake .

 Mwisho alisema kuwa  wakristu wajiimarishe   katika kumtambua  yesu  wa msalaba  na yesu wa mateso  kwa kuwa na yesu miongoni mwetu katika kazi zetu za kila siku.  
                                                ( 24)22April 2012


Comments

  1. tuna kila sababu ya kuipongeza CPT na UTPC kwa kuwa karibu na waandishi then kwa mafunzo kadhaa sasa wameweza kufanya mambo makubwa kipekee nikupongeze ww mwenyewe

    ReplyDelete
  2. iko njema kaka pool your socks,kuhakikisha unaweka vitu vya kumvuta msomaji wa blog yako.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

HISTORIA YA MPWAPWA HATARINI KUTOWEKA

MAANA YA JINA MPWAPWA

DC KIZIGO ATOA MAAGIZO KWA KWA MAAFISA ELIMU KUKABILIANA NA UKATILI MASHULENI.