Posts

HISTORIA YA MPWAPWA HATARINI KUTOWEKA

Na Stephen –noel –mpwapwa. WANANCHI wa wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma wameonyesha wasiwasi wao juu ya vitu vya kihistoria   ya wilaya hiyo vilioachwa na wakoloni iko hatarini kutoweka   kutokana   na   sehemu hizo   za kihistoria kuto kuhifadhiwa    na kulidwa na mamlaka husika. Wakiongea   na waandishi wa habari   mmoja wa wazee wakongwe wa mji huo   bwana Abinoo Mathiasi    mkazi wa   hazina alisema kuwa   miongoni mwa historia hizo ambazo   ni   njia kuu ya watumwa   iliyokuwa ikotokea   bara   yaani mikoa ya Kigoma   na Tabora   na kuelekea Bagamoyo na Zanzibar iliyokuwa ikiongozwa na Said Majid TippTip na Abushir ambayo kwa sasa iko mbioni kufutika Mti wa mlumbulumbu ambao kwa sasa umesha anguka na wanachi wameupasua kuni ambapo   palichomwa   kanisa la Anglikana la kwanza   na mfanya biashara ya watumwa   mwarabu Abushir kwa vile watu wa eneo hi...

KILIMO CHA UMWAGILIAJI HATARINI KUTOWEKA CHAMKOLOMA-KISA UHARIBIFU WA MAZINGIRA.

N a Stephen noel – Kongwa. KILIMO Cha   umwagiliaji   katika    kata ya chamkoloma    wilyani Kogwa   kipo hataririni kutoweka   na kufutika kabisa kutokana na uharibifu mkubwa wa mazingira unaoendelea katika vijiji vya   Tubugwe juu, Mseta,Kiboriani, na kijiji cha Sagala. Ras fm   imetembelea   maeneo hayo   ambayo ambayo ni     Tubugwe kibaoni, tubugwe juu,mseta A, Mseta bondeni,chamkoloma, makole na ambapo ilijionea uharibifu mkubwa wa mazingira ,ikiwemo wanachi wa   vijiji hivyo    kukata miti sana katika   milima hiyo na kulima katika vyanzo vya maji,   ambayo imekua ni tishio kubwa   kwa baadhi ya mabonde kuanza kukausha maji na kupungua kwa uzalishaji   wa mazao kama miwa na maharage   yanayo limwa   katika mabonde hayo. Mtendaji   kata   ya chamkolama   Bwana Fanuel Ng’anda alisema kata hiyo   ambayo imekuwa ni tegemeo kubwa la m...

SERIKALI YATAKIWA KUSHIRIKISHA SEKTA BINAFSI KATIKA UPANGAJI WA MIPANGO.

    Na Stephen Noel -Mpwapwa. SERIKALI imeobwa kushirikisha sekta binafsi katika upangaji wa mipango mbalimbali ya kimaendeleo ili kuweza kuwa na nguvu moja   katika kuzikabili changamoto za kimaendeleo zinazotokana na serikali kuto   shirikisha sekta hiyo. Lai hiyo imetolewa na   Bwana   Dornard Liya   mshuari wa   mradi wa   kuboresha   mazingira ya uwekezaji   na biashara   Tanzania unaotekelezwa na shirika la   Denmark   katika mikoa ya Dodoma na Singida alipokuwa akiongea na wafanya biashara   wilayani mpwapwa mkoani Dodoma. Dornard alisema   kutokana na utafiti uliofanywa na shirika   hilo ulibaini kuwa   katika   nchi ya Tanzania   kumekuwa na mazingira    magumu ya ufanyaji wa biashara   kwa wafanya biashara unao tokana na kulundikiwa kodi kandamizi kwa wafanya biashara hao   na kutoshirikishwa katika   upangaji wa mipango mbalimbali ya serikal...

VIONGOZI WA UMMA WAKUMBUSHWA KUWA VYEO NI DHAMANA.

  Na noel Stephen –Mpwapwa   Viongozi wa   umma , viongozi wa   kuteuliwa,   na viongozi wa kuchaguliwa   wilayani mpwapwa wameaswa    kuto tumia   dhamana waliyo pewa na wananchi   kama miradi ya   ya kujinufaisha binafsi Lai hiyo imetolewa   na    Kamanda wa kuzuia na kupambana na rushwa wilayani mpwapwa mkoani Dodoma Michael Makoba   alipo kuwa akiongea na waandishi wa habari kwa mahojianao maluumu. Makoba   amesema   kuwa kumekuwako na   kushuka kwa maadili ya viongozi wa umma   ambao hutumia   vyeo vyao kama mitaji ya kujinufaisha na kuwaacha watu wanaowaongoza wakiwa katika lindi kubwa la umaskin na   kusahau kuwa   cheo ni dhamana na kuwatumiakia wananchi hasa   walio katika   sekta zao. Aidha   Makoba   amedai kuwa    sheria ya   ya maadili   ya viongozi wa umma   na   na 13ya mwaka 1995 sura 398 ...