LITA MPWAPWA YAPATA MAABARA YA KISASA
Dkt MACIEJ KLOCKIEWICS akiwa katika hafla ya uzinduzi wa maabara ya kisasa MPWAPWA
Dkt Justina kutoka Uholanzi katika hafla ya ufunguzi wa maabara ya kisasa LITA MPWAPWA.
Dkt Justina akicheza SHOO na BAADHI YA Wanachuo wa LITA mpwapwa wakifurahia UFUNGUZI w maabara ya uchunguzi wa magonjwa ya mifugo lita Mpwapwa.
Mkuu wa wilaya ya mpwapwa akiongea neno ktika uzinduzi wa hafla hiyo.
Dkt Mery Mashingo akiwa katika picha y pamoja na wgeni waalikwa na wafadhili wa maabar hiyo kutoka nchi ya Uholanzi.
Dkt Mery Mashingo akifungua maabara ya uchunguzi wa magonjwa ya wanyama yatokanayo na wadudu iliyo fadhiliwa na chuo kikuu cha sayansi cha nchini uholanzi, katika tasisi ya uwakala wa mafunzo ya mifugo LITA kampasi ya Mpwapwa.

Comments
Post a Comment