Kilimo cha korosho chafikiliwa kukwamua uchumi wa Mpwapwa.
Mkuu wa wilaya awaza kuanzisha kilimo ch korosho Mpwapwa hiyo ni baadhi ya miche ya mkorosho iliyo otesha katika magereza ya Mpwapwa tayarikwa kwenda shamabani.
Mkuu wa Gereza la Mpwapwa SSP .Joseph Tembo akionyesha taarifa njisi ya upandaji wa miche ya korosho .
Miche ya mikorosho iliyo stawishwa KATIKA Gereza la Mpwapwa.
Mkuu wa Gereza la Mpwapwa SSP .Joseph Tembo akionyesha taarifa njisi ya upandaji wa miche ya korosho .
Miche ya mikorosho iliyo stawishwa KATIKA Gereza la Mpwapwa.
Comments
Post a Comment