AOKOTWA IKIWA AMEFARIKI KORONGONI
Na
noel Stephen Mpwapwa.
Mama
mmoja aliweza kutambulika kwa jina la Agare Kidumu (26) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia mtandio
wa nguo aliyo kuwa amejifunga baada
kumunguza mumewe kwa maji ya moto na kumunguza sehemu mbalimbali za mwili
Polisi
wilayani mpwapwa wamethibitisha
kutokea kwa tukio hilo na wamedai kuwa
wanaendelea na uchunguzi ili kuweza kujua chanzo cha mama huyo mpaka kujinyonga.
Mashuhuda
wa tukio hilo
wamedai kuwa mapaka tukio
Agare linatokea Agare alikuwa kama
amechanaganyikiwa.
.
Aidha
wamesema kuwa wiki mbili zilizopita Agare alionyesha dalili za kuchanganyikiwa
ambapo alijaribu kutaka kujidhuru kwa kutaka kuchichoma na kisu tumboni
lakini aliokolewa na majiarani na
alipona hospitalini ‘inavyo onekana kuwa huyu marehemu alikuwa na roho ya ktka kujidhuru mda mrefu
maa na amewahi kujaribu kutaka kijidhuru mala tatu lakini alikuwa anaokolewa na
watu hi indo dhamira yake imetia kwa kujidhuru mpaka amefanikiwa
kujitoa roho.
Akiongea na mwananchi communication akiwa wodini akiuguza maeraha ya maji ya
moto mume wa marehemu Paskali Samila 35 alidai kuwa siku ya tukio hiyo aliyo
mwagiwa maji ya moja alisema’’ Siku ya
tukio nilikuwa katika shughuli zangu za kila siku hivyo nilchelewa kidogo kurudi nyumbani na kumkuta
mkewangu amelala kwenye kochi
nilipo muliza mbona mpaka muda
huo jalala alinijibu kuwa sina usingizi
na alinitaka nikaoge lakini nilimwambia nitaoga kesho nilipo maliza
kula nilimuaga ili niende nikalale,na
alinikatalia kwa madai kuwa nitamwachaje
peke yake hivyo kwa kumjua hali
yake ilinibidi nimsikilize nikaa kwenye kochi kwa mbali
usingizi ulianzakunipitia .alieleza na kuongeza
Samila.
Aidha
aliendelea kuelezea kuwa ‘’ baada ya
usingizi kunipit niliamshwa na mkewangu
huku akiniuluza kuwa unaijua
dunia mimi nikajibu mbona sikuelewi yeye
alinijibu kuwa dunia sasa ndio hii na haina huruma,akanimwagia maji yale alikuwa ameniandalia ili nioge
kumbe nilipo kataa kuoga hakuyatoa motoni na hali hii baada ya hapo nilipiga kelele za kuomba msaada na ndipo majirani wakaja kunipa msada na kumkata mke wangu na kumuweka chini ya ulinzi.
Na
alichukuliwa mpaka kiyuo cha polisi mi
nikiwa hospitalini yeye bado alikuwa polisi kwa muda wa siku
mbili lipo muachia ndipo alipo jinyonga kwa kutumia mtandio wa nguo yake
alikuwa nayo na kajinyongea jumbani kwa mama yake ndani chimbani kwa kufunga
mtandio kwenye ngizo ya nyumba,
Mpaka
sas Samila bado yupo hosptali ya benjamini mkapa mpwapwa na alisema kuwa angepona alikuwa na lengo la
kumsamehe mke na kuendelea na maisha yao ya kila siku na sasa hali yake
inaendelea vizuri.
Marehemu
ameacha watoti watatu na msoja mchanga wa miezi nane,
Comments
Post a Comment