WANAFUNZI HAO WAKIMUANGALIA MTUMISHI WA BENKI YA NMB MPWAPWA , WAKITAFAKARI KESHO YAO HUKU WALIMU WAKIZI KUTIA NGUMU JUU KUWAFUNDISHA ,
Posts
Showing posts from July, 2012
SEHEMU YA MLIMA ILIYO HARIBIWA WILAYANI MPWAPWA GALIGALI
- Get link
- X
- Other Apps
WAZAZI WASHAURIWA KUWAKEZEA WATOTO.
- Get link
- X
- Other Apps
Wito umetolewa kwa wazazi wote nchini kujenga moyo wa kuwawekekea watoto wao akiba mbali mbali za kimaisha ili wasipate taabu wanapo ingia utu uzima Wito huo umetolewa na Meneja wa Bank ya NMB tawi la Mpwapwa BWANA HERMAN MASUKI hivi karibuni alipo kuwa akizindua mpango wa Ankaunt maalum kwa watoto walio chini ya miaka kumi na nane ajulikayo kama Finacial Fitness . Bwana masuki alidai kuwa Wazazi wengi nchini hawana tabia ya kuwawekea akiba watoto walio chini ya miaka kumi na nane kitu alicho kisema kuwa kina leta shida pindi mtoto aingiapo utu uzima na kuanza au anapo pelekwa shule kushidwa kugalamiwa masomo kutokana na wazazi wengi kuto kuwa na malengo ya badae kwa watoto wao Mhasibu wa BENK ya NMB Mpwapwa akitoa zawadi kwa wanafunzi walio hudhuria harmbee ya fitness M pwapwa (picha na noel Stephen mpwapwa....
WATOTO WA SHULE MBALIMBALI WILAYANI MPWAPWA WAKIMSIKILIZA MTUMISHI WA BENK YA NMB MPWAPWA KUHUSU AKAUNTI ZA WATOTO.
- Get link
- X
- Other Apps
VIONGOZI YANGA CHAGUENI VIONGOZI BORA
- Get link
- X
- Other Apps
viongozi bora Send to a friend Monday, 09 July 2012 11:26 0 digg MWISHONI mwa wiki hii utafanyika uchaguzi wa viongozi wa Yanga kwa ajili ya kujaza nafasi zilizo wazi za Kamati ya Utendaji. Uchaguzi huo unafanyika baada ya wajumbe saba wa Kamati ya Utendaji ya Yanga kujiuzulu pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa klabu hiyo, Lloyd Nchunga kujiuzulu pia. Hivi sasa klabu ya Yanga inaongozwa na sekretarieti ya Yanga chini ya Katibu Mkuu wa klabu hiyo Celestine Mwesigwa mpaka uchaguzi utakapofanyika Julai 15. Uchaguzi wa Yanga utakaofanyika mwishoni mwa wiki utakuwa kwa ajili ya kupata Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na wajumbe. Wanachama mbalimbali wa Yanga wanaowania nafasi tofauti za uongozi walikuwa wakifanya kampeni katika siku za hivi karibuni, ambapo Jumapili ijayo itakuwa ni siku ya wanachama wa Yanga watakaopiga kura kuchagua viongozi wanaowaona wanastahili kuongoza klabu yao. Tunafahamu kufanya uchaguzi ni gharama hivyo tuna...
SALAMU KWA WAPENZI WA BLOG YA MPWAPWA HABARI.
- Get link
- X
- Other Apps
NDUGU ZANGU WAPENZI WA BLOG YA MPWAPWA HABARI NAPENDA KUWASHUKURU KWA MAONI YENU JUU YA BLOG HII, ILA NAPENDA KUWA DHIBITISHIA KUWA NIMEJIPANGA UPYA KUBORSHA HUDUMA HII KUWAONGEZEA MAMBO HAYA AMBAPO KUANZIA WIKI HILI KUTAKUWA NA UKURASA WA MAHUSINO UTAPATA TIPS ZA KUBORESHA MAHUSIANAO YAKO KATI YAKO NA MWENZI WAKO.MCHUMBA NA MUMEO/MKEO.PIA NAWALETEA UKURASA JUU MASWALI MENGI YANAYO ULIZWA NA VIJANA WENGI KUHUSU KUINGIA UTU UZIMA , MTAPATA MAJIBU YENU,PIA WAPO WALIOLALAMIKIA KUWA HAWAIONI SEHEMU YA KUANDIKA COMMENT, KWANZA ANGALIA HABARI UNAYO ITAKA KISHA NENDA SEHEMU ILIYO ANDIKA"0comment" ponyeza hapo utapata kibox cha kutolea maoni yako. asanteni sana na karibu sana .
Share this page Email Print 1.1K Share Facebook Twitter Japan panel: Fukushima nuclear disaster 'man-made' Cannot play media. You do not have the correct version of the flash player. Download the correct version The BBC's Mariko Oi in Tokyo: ''It was a disaster... made in Japan'' Continue reading the main story Japan quake Fukushima report: Key points Fukushima glimpse How plant was stabilised What went wrong? The crisis at the Fukushima nuclear plant was "a profoundly man-made disaster", a Japanese parliamentary panel has said in a report. The disaster "could and should have been foreseen and prevented" and its effects "mitigated by a more effective human response", it said. The report catalogued serious deficiencies in both the government and plant operator Tepco's response. It also blamed cultural conventions and a reluctance to question authority. Continue reading the main story Analysis image of Mariko Oi Mariko Oi BBC News, Tokyo While the report is highly critical of all the key parties, it digs even deeper. The panel called the disaster "Made in Japan", because the mindset that allowed the accident to happen can be found across the country. It flagged up the bureaucracy's role in both promoting and regulating the nuclear industry, and also cultural factors such as a traditional reluctance to question authority. The report was expected to use strong language, but not many thought it would be this harsh. The panel also found that there was a possibility that the plant was damaged by the earthquake, contradicting the official position that only the tsunami contributed to the disaster. It could put further pressure on the government, which recently authorised the restart of two nuclear reactors in western Japan. They were declared safe in April but the plant also sits on top of a fault line. The six-reactor Fukushima Daiichi nuclear plant was badly damaged after the 11 March 2011 earthquake and tsunami knocked out cooling systems to reactors, leading to meltdowns and the release of radioactivity. Tens of thousands of residents were evacuated from an exclusion zone around the plant as workers battled to bring reactors under control. Tepco declared the reactors stable in December 2011. Members of the Fukushima Nuclear Accident Independent Investigation Commission were appointed to examine the handling of the crisis and make recommendations. The investigation included 900 hours of hearings and interviews with more than 1,000 people. 'Insular attitude' In the panel's final report, its chairman said a multitude of errors and wilful negligence had left the plant unprepared for the earthquake and tsunami.
- Get link
- X
- Other Apps
Share this page Email Print 1.1K Share Facebook Twitter Japan panel: Fukushima nuclear disaster 'man-made' Cannot play media. You do not have the correct version of the flash player. Download the correct version The BBC's Mariko Oi in Tokyo: ''It was a disaster... made in Japan'' Continue reading the main story Japan quake Fukushima report: Key points Fukushima glimpse How plant was stabilised What went wrong? The crisis at the Fukushima nuclear plant was "a profoundly man-made disaster", a Japanese parliamentary panel has said in a report. The disaster "could and should have been foreseen and prevented" and its effects "mitigated by a more effective human response", it said. The report catalogued serious deficiencies in both the government and plant operator Tepco's response. It al...
- Get link
- X
- Other Apps
BBC World Service Businessman Alexei Kozlov has been jailed - and he says, framed - twice Continue reading the main story In today's Magazine Muons, gluons and the poetry of particles China's biggest business journalist Afghans fear mysterious school 'poisonings' Been and Gone: The fireworks-maker and the beach volleyball advocate In the last 10 years Russia has imprisoned nearly three million entrepreneurs, many unjustly. This statistic comes from a new ombudsman for business rights, Boris Titov, who says it is "hard to find another social group persecuted on such a large scale". How has this come about? Businessmen have complained for years that people have been able to frame commercial rivals - by paying corrupt police officers to plant evidence and make arrests to order. But only now are they being taken seriously...
- Get link
- X
- Other Apps
Share this page Email Print 299 Share Facebook Twitter The view from inside Syria's propaganda machine By James Reynolds BBC Iran correspondent Syrian journalists at al-Akhbariya slavishly follow the government line, according to a reporter who defected from the channel Continue reading the main story Syria conflict Grim tales of torture Downed jet: Unanswered questions Spillover into Lebanon Why Russia sells Syria arms Many journalists who cover Syria struggle to convey the complexities of the country's conflict. But Syria's prominent al-Akhbariya network has no such problem. It portrays a reasonably straightforward world: a brave Syrian government leads the fight against foreign-led terrorists. Akhbariya is privately owned, but it obeys the instructions of the ruling Baath P...
FINAL REPORT INTO 2009 AIR FRANCE
- Get link
- X
- Other Apps
eport into 2009 Air France plane crash expected F-GZCP, the Air France jet which crashed, is seen here in an undated image Continue reading the main story Related Stories Long hunt for answers Air France crew 'lacked training' The politics of air crash investigations The final technical report into why an Air France flight crashed into the Atlantic in 2009, killing 228 people, is due to be released shortly. The report by France's aviation authority, the BEA, is expected to say the crew did not react correctly after the plane had technical failures. The Airbus A330 disappeared from radars during a storm on 1 June 2009, en route to Paris from Rio de Janeiro. It took nearly two years for the flight recorders to be found. Thursday's findings are expected to be in line with a preliminary report released last year by the BEA.
WANAKIJIJI WAMKATAA MWEKEZAJI WA MADINI LUFUSI
- Get link
- X
- Other Apps
NA noel Stephen mpwapwa. MKUU wa wilaya ya Mpwapwa Bwana CHRISTOPHER KANGOYE amesitisha uchimbaji wa madini aina ya copa katika kata ya lumuma kijiji cha LUFUSI kwa kampuni ya KIMANI MINERALS LIMETED kufuatia kuto fuata taratibu na uharibifu wa mazingira . MKUU huyo amefikia hatua hiyo kufuatia mgogoro ulioibuka kati ya mwekezaji huyo na wanakijiji wa kijiji hicho kwa madai kuwa mwekezaji huyo hajafuata taratibu za uchimbaji wa madini na kuchimba madini hayo karibu na vyanzo vya maji vya kata nzima ya lumuma na vijijiji vyake. AKIONGEA na waandishi wa habari ofisini kwake bwana KANGOYE alikili kuwepo kwa mgogoro kati ya mwekezaji wa huyo na wanakijiji wa kijiji cha lufusi kwa madai kuwa amechimba madini hayo karibu na chanzo cha maji cha kijiji hicho na ambacho ni tegemeo la upatikaji wa maji wa ...
MWANASHERIA WASERIKALI WAPINGANA NA DPP
- Get link
- X
- Other Apps
Na noel stephen mpwapwa TASISI ya kuzuia na kupambana na RushwaTAKUKURU wilaya ya mpwapwa Mkoani Dodoma imemfikisha mahakamani mtumishi wa halimashauri ya mpwapwa bwana Ignace Saye kwa tuhuma za ubadhilifu wa mali za umma . Ikisomewa mashtaka yake mbele ya hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya wilaya bwana JEMSI KAREIMAHA na mwendesha mashtaka wa TAKUKURU bwana GARRY NOMA alidai kuwa mtuhumiwa huyo anakabiliwa na makaosa 10 ya ubadhilifu wa mali za umma. Bwana Garry Noma alidai mahakamani hapo kuwa mtuhumiwa alilitenda makosa hayo katika tarehe mbalimbali za mwaka 2008 hadi mwaka 2010 katika ofisi ya halmashauri ya wilaya ya mpwapwa akiwa kama boharia mkuu wa wilaya hiyo. Na mtuhumiwa alikanusha makosa yote hayo na ameachiwa huru kwa dhamana ya shiliongi million 10 au kitu chenye dhani ya hiyo pesa kisichi weza kuhamishika na shitaka lake litasom...
JKT VIGOGO KIZIMBANI
- Get link
- X
- Other Apps
*Wadaiwa kuhamisha Sh bilioni 3.8 kinyemela MAOFISA saba wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ambao ni wajumbe wa Bodi ya Zabuni ya SUMA JKT, wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kutumia madaraka vibaya na kuhamisha Sh bilioni 3.8 kutoka akaunti ya Bodi ya Zabuni ya Ushirikiano wa Tanzania na Korea (TAKOPA), kinyume cha sheria. Washitakiwa hao, walipanda kizimbani jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi, Aloyce Katemana na kusomewa mashitaka na Mwendesha Mashitaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Beny Linkolin. Linkolin, aliwataja washitakiwa hao kuwa ni Kanali Ayoub Mwakang’ata, Luteni Kanali, Mkohi Kichogo, Luteni Kanali, Paul Mayavi, Meja Peter Lushika, Sajenti John Laizer, Meja Yohana Nyuchi na Luteni Kanali, Felix Samillan. Alidai washitakiwa wanakabiliwa na mashitaka saba, shtaka la kwanza linawahusu wote, ambapo inadaiwa Machi 5, 2009 katika ukumbi wa mikutano uliopo SUMA JKT mjini Dar es Salaam, wakiwa Wa...
vyombo vya habari vyalaumiwa kesi ya LULU
- Get link
- X
- Other Apps
BARAZA la Habari Tanzania (MCT), limevishutumu vyombo vya habari kwa kuandika habari zenye mwelekeo wa kumhukumu msanii Elizabeth Michael, maarufu kama Lulu, kwamba amemuua msanii mwenzake, Steven Kanumba. Akisoma tamko la Kamati ya Maadili ya MCT Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Jaji mstaafu Thomas Mihayo, alisema wamesikitishwa na ukiukwaji mkubwa wa maadili uliojitokeza kwa baadhi ya vyombo vya habari katika kuripoti kuhusu kifo cha msanii, marehemu Kanumba. Alisema hatua hiyo ni ukiukwaji mkubwa uliovuka mipaka wa maadili ya uandishi wa habari. Alisema vyombo hivyo vimemhukumu msichana Lulu kuwa amemuua msanii huyo bila kuzingatia kwamba kufanya hivyo ni kosa. Alisema ukiukwaji huo umejitokeza baada ya msichana huyo kufikishwa mahakamani ambapo baadhi ya magazeti yanayoheshimika katika jamii yaliandika vichwa vya habari vinavyomhukumu moja kwa moja Lulu kama ni muuaji. “Kwa mujibu wa sheria na maadili ya uandishi wa habari, mtu yeyote anayekamatwa...