Posts

CHAMA CHA WALIMU CHAIDAI SERIKALI MILION 412.7 MPWAPWA

  Na noel Stephen   - Mpwapwa   CHAMA   cha walimu wilayani mpwapwa   mkoani Dodoma   kinaidai serikali kiasi cha tsh milioni   412,701,983 kama madeni ya mapunjo ya mishara, pesa za likizo   na   upandishwaji wa madaraja. Kwa walimu   wake kwa kipindi cha kuanzia   desemba 2012 na   hadi   feb 2014. Kauli   hiyo imelotelewa na   katibu   wa chama hicho wilayani hapa Donard Kisamaba   alipokuwa akisoma taarifa ya utekelezaji katika   mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa ccm    mjini mpwapwa. Kisamba   alisema kuwa    madeni hayo ni   mapunjo ya   mishahara    na makato mbalimbali ambayo walimu   wanamdai mwajili kama haki zao za msingi   kazini . ALISEMA   serikali ikiwa katika mchakato wa    matokeo makubwasasa (big result now) katika idara ya elimu hayatapatikana      ka...

AUWA MKEWE KWA KIPIGO

  Na noel   Stephen   mpwapwa. JESHI la polisi wilayani mpwapwa Kijana mmoja   aliyefahamika   kwa jina   la Hamis Nwage    kwa tuhuma za kupiga hadi kumuua mke     (mpenzi wake).   Tukio hili lililotokea     asubuhi ya feb 11 katika eneo la hazina wilayani mpwapwa mkoani   Dodoma   ambapo kijana huyo   alimpiga hadi kumuua mke wake aliyetambulika kwa jina Amana Makamba kwa kutumia kitu kianachosadikiwa kuwa ni kizito hali iliyosababisha mauti(37) . Akiongea   mmoja wa mashuuhuda wa tukio hilo ambae ni dada wa marehemu   Bi   Stela   Mwasongwe   amesema   kuwa   siku ya tukio   walikuja kuambiwa na   majirani   kuwa    mdogo   wake anasadikiwa   kuwa   kapigwa   na kujeruhiwa na mume wake ndipo walipofika eneo hilo na kumkuta mdogo wake huyo akiwa amekwishafariki. Mjomba wa marehemu   musa mhina  ...

MITANDAO YA KIJAMII NI KIUNGO CHA KUWAKUTANISHA WATU.

Image
Mmiliki wa BLOG Hii akiwa na ndugu yake ambae walikuwa hawakuwahi kuonana  kwa miaka 25.lakini face book na blog imewakutanisha,

UHARIBIFU WA MAZINGIRA UNAVYO SHIKA KASI MPWAPWA

Image
Uharibifu wa mazingira ni  changomoto kubwa katika wilaya ya mpwapwa japo kuwa baadhi ya wahusika wakiwamo wakuu wa idara kuhisika katika uharibifu huo , madiwani, na watendaji wa kata na vijiji,lakini  hili linashikiliwa kidedea na  mkuu wa wilaya ya mpwapwa Chrisopher Kangoye.

ASKARI AKIMUONYA MZEE ANAEENDESHA UVUVI HARAMU KATIKA BWAWA LA MTERA

Image
Uvuvi haramu ni shida kubwa inayao ikkabili bwawa la mtera  huku wahusika wa wilaya hizi yaani mpwapwa na  chamwino wakiwa wanalichulia mzaa

AOKOTWA IKIWA AMEFARIKI KORONGONI

Image
Na noel Stephen Mpwapwa. Mama mmoja aliweza kutambulika kwa jina la Agare Kidumu   (26) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia mtandio wa nguo aliyo kuwa amejifunga   baada kumunguza mumewe kwa maji ya moto na kumunguza sehemu mbalimbali   za mwili Polisi wilayani mpwapwa wamethibitisha   kutokea   kwa tukio hilo na wamedai kuwa wanaendelea na uchunguzi ili kuweza kujua chanzo cha   mama huyo mpaka kujinyonga. Mashuhuda wa tukio hilo   wamedai kuwa   mapaka tukio Agare   linatokea   Agare alikuwa kama amechanaganyikiwa. . Aidha wamesema kuwa   wiki mbili zilizopita   Agare alionyesha dalili za kuchanganyikiwa ambapo alijaribu kutaka kujidhuru kwa kutaka kuchichoma na kisu   tumboni   lakini aliokolewa na   majiarani na alipona hospitalini   ‘inavyo onekana   kuwa huyu marehemu   alikuwa na roho ya ktka kujidhuru mda mrefu maa na amewahi kujaribu kutaka kijidhuru mala tatu lakini al...

ASKARI WA JESHI LA POLISI AKIWA KATIKA KAZI ZA MALUUM KATIKA MILIMA YA LUFU

Image