BUNGE LA SOMALIA LAPANAGA
+ Toa maoni sasa Chapisha Baruapepe Panga upya Bunge la Taifa la Katiba ya Somalia (NCA) lilifungua siku yake ya sita hapo Jumatatu (tarehe 30 Julai) ambapo wajumbe waliahidi kutochelewesha zaidi wakati wanafanya kazi kuelekea uidhinishaji wa rasimu ya katiba ifikapo tarehe 2 Agosti, kwa mujibu wa Redio Mogadishu. Wajumbe wakihudhuria sherehe za ufunguzi wa mkutano wa Bunge la Taifa la Katiba tarehe 25 Julai. [Na Mahmoud Mohamed/Sabahi] Makala zinazohusiana Bunge la Katiba la Somalia lakutana Mogadishu Viongozi wa Somalia wakubaliana na ratiba ya kumaliza kipindi cha utawala wa mpito Mkutano wa Mpango Mkuu wa Somalia wafungwa Addis Ababa Wajumbe 825 walikutana tarehe 25 Julai katika Chuo cha Polisi Mogadishu na kuanzia hapo kukutana kila siku isipokuwa ucheleweshaji wa muda siku ya Ijumaa kutokana na sababu za kiufundi na shambulio la kombora karibu na hapo. Hakuna aliyejeruhiwa katika mlipuko ...