Posts

Image
WANAFUNZI HAO WAKIMUANGALIA MTUMISHI WA BENKI YA NMB MPWAPWA , WAKITAFAKARI KESHO YAO HUKU WALIMU WAKIZI KUTIA NGUMU JUU KUWAFUNDISHA ,

SEHEMU YA MLIMA ILIYO HARIBIWA WILAYANI MPWAPWA GALIGALI

Image

WAZAZI WASHAURIWA KUWAKEZEA WATOTO.

Image
  Wito   umetolewa kwa wazazi wote nchini kujenga moyo   wa kuwawekekea watoto wao akiba   mbali mbali za kimaisha   ili wasipate taabu   wanapo ingia utu uzima   Wito huo umetolewa na Meneja wa Bank   ya   NMB   tawi la Mpwapwa BWANA HERMAN MASUKI   hivi karibuni alipo kuwa akizindua    mpango wa     Ankaunt maalum kwa watoto   walio chini ya miaka kumi na nane ajulikayo kama   Finacial Fitness . Bwana masuki alidai kuwa Wazazi wengi nchini hawana   tabia ya kuwawekea akiba watoto walio chini ya miaka kumi na nane   kitu alicho kisema kuwa kina leta shida pindi mtoto aingiapo utu uzima na kuanza au anapo pelekwa shule kushidwa kugalamiwa masomo kutokana na wazazi wengi kuto kuwa na malengo ya badae kwa watoto wao Mhasibu wa   BENK   ya NMB Mpwapwa akitoa zawadi kwa wanafunzi   walio hudhuria harmbee   ya fitness   M pwapwa (picha na noel Stephen mpwapwa....

WATOTO WA SHULE MBALIMBALI WILAYANI MPWAPWA WAKIMSIKILIZA MTUMISHI WA BENK YA NMB MPWAPWA KUHUSU AKAUNTI ZA WATOTO.

Image

GUN BRNDISHED DURING LIVE JORDANIAN TV DEBATE.

Image
Gun brandished during live Jordanian TV debate

VIONGOZI YANGA CHAGUENI VIONGOZI BORA

Image
viongozi bora  Send to a friend Monday, 09 July 2012 11:26 0 digg MWISHONI mwa wiki hii utafanyika uchaguzi wa viongozi wa Yanga kwa ajili ya kujaza nafasi zilizo wazi za Kamati ya Utendaji. Uchaguzi huo unafanyika baada ya wajumbe saba wa Kamati ya Utendaji ya Yanga kujiuzulu pamoja na  aliyekuwa Mwenyekiti wa klabu hiyo, Lloyd Nchunga kujiuzulu pia. Hivi sasa klabu ya Yanga inaongozwa na sekretarieti ya Yanga chini ya Katibu Mkuu wa klabu hiyo Celestine Mwesigwa mpaka uchaguzi utakapofanyika Julai 15. Uchaguzi wa Yanga utakaofanyika mwishoni mwa wiki utakuwa kwa ajili ya kupata Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na wajumbe. Wanachama mbalimbali wa Yanga wanaowania nafasi tofauti za uongozi walikuwa wakifanya kampeni katika siku za hivi karibuni, ambapo Jumapili ijayo itakuwa ni siku ya wanachama wa Yanga watakaopiga kura kuchagua viongozi wanaowaona wanastahili kuongoza klabu yao. Tunafahamu kufanya uchaguzi ni gharama hivyo tuna...

SALAMU KWA WAPENZI WA BLOG YA MPWAPWA HABARI.

NDUGU ZANGU WAPENZI WA BLOG  YA MPWAPWA  HABARI NAPENDA KUWASHUKURU KWA MAONI YENU JUU YA BLOG HII,  ILA NAPENDA KUWA DHIBITISHIA  KUWA NIMEJIPANGA UPYA KUBORSHA HUDUMA HII KUWAONGEZEA  MAMBO HAYA  AMBAPO KUANZIA  WIKI HILI KUTAKUWA NA UKURASA  WA MAHUSINO UTAPATA  TIPS ZA KUBORESHA MAHUSIANAO YAKO KATI YAKO NA MWENZI WAKO.MCHUMBA  NA MUMEO/MKEO.PIA NAWALETEA  UKURASA JUU MASWALI MENGI YANAYO ULIZWA NA VIJANA WENGI KUHUSU KUINGIA UTU UZIMA , MTAPATA MAJIBU YENU,PIA WAPO WALIOLALAMIKIA  KUWA HAWAIONI SEHEMU YA KUANDIKA COMMENT, KWANZA ANGALIA  HABARI UNAYO ITAKA KISHA NENDA SEHEMU ILIYO ANDIKA"0comment" ponyeza hapo utapata kibox  cha  kutolea maoni yako.  asanteni sana na karibu sana .