Posts

Showing posts from 2015

KLIMO CHA UMWAGILIAJI HATARINI KUTOWEKA CHAMKOLOMA

N a Stephen noel – Kongwa. KILIMO Cha   umwagiliaji   katika    kata ya chamkoloma    wilyani Kogwa   kipo hataririni kutoweka   na kufutika kabisa kutokana na uharibifu mkubwa wa mazingira unaoendelea katika vijiji vya   Tubugwe juu, Mseta,Kiboriani, na kijiji cha Sagala. Ras fm   imetembelea   maeneo hayo   ambayo ambayo ni     Tubugwe kibaoni, tubugwe juu,mseta A, Mseta bondeni,chamkoloma, makole na ambapo ilijionea uharibifu mkubwa wa mazingira ,ikiwemo wanachi wa   vijiji hivyo    kukata miti sana katika   milima hiyo na kulima katika vyanzo vya maji,   ambayo imekua ni tishio kubwa   kwa baadhi ya mabonde kuanza kukausha maji na kupungua kwa uzalishaji   wa mazao kama miwa na maharage   yanayo limwa   katika mabonde hayo. Mtendaji   kata   ya chamkolama   Bwana Fanuel Ng’anda alisema kata hiyo   ambayo imekuwa ni tegemeo kubwa la m...

WAFANYA BIASHARA WAILALAMIKIA HALMASHAURI.

Na   Stephen noel mpwapwa UMOJA wa wafanya biashara wa mazao   na wakulima CHAWAMA wilayani mpwapwa mkoani   Dodoma wamelalamikia   uongozi wa halmasshauri   ya wilaya ya mpwapwa kwa upandisha   ushuru wa mazao bila kuwashirikisha wafanya   wanaya biashara   hao. Wakiongea kwa nyakati tofauti na ras fm   mjini hapa wamesema kuwa halmashauri imewapandishia ushuru kutoka shilingi   1000 kwa gunia hadi shilingi 5000 kwa gunia kitu walichosema kuwa   halmashauri inazidi kuwadidimiza zaidi. Akiongea makamu mwenyekiti wa umoja wa wafanya biashara za mazo(CHAWAMA) wilayani hapa Hamis Ally   amesema   wameshitushwa na uongozi wa halmasahauari hiyo kupandisha ushuru wa mazao bila kushirikiana na wadau,   na bila kuboresha huduma   katika soko hilo,zikiwemo huduma za vyoo, maji na umeme ambapo hulazimu kujisaidia vichakani na kwenye majumba ya watu. Aidha   Stephano Luhanga mfanya biashara wa karanga pia...

KAZI KUBWA KUIONGOZA SERIKLI ILIYO JAA RUSHWA.ASKOFU MKUU ANGLIKANA TANZANIA

Na Stephen noel –mpwapwa ASKOFU MKUU wa kanisa la   Angilikana Tanzania   Dr. Jacob Chimeledya amesema kuwa   kuna gharama kubwa kutunza na kulinda seriklai iliyo jaa vitendo vya rushwa na ufisadi   kuwa vinaweza   kuhatarisha amani ya   Nchi yetu. Askofu chimeledya   aliyasema hayo   alipokuwa akihubiri katika      ibada   iliyofanyika katika kanisa kuu   la watakatifu wote   Vinghawe   mjini   Mpwapwa. Amesema kumekuwako na   na vitendo vya   vya   kuhatarisha amani   ambayo husababishwa na viongozi waliopewa   nafasi na wananchi wanyonge kwa    kujimilikisha   mali   za watanzania wanyonge    kusababisha   kuwepo kwa kundi kubwa la walionacho na wasio nacho kitu alichosema kinasababishwa na ubinafsi     kupungua kwa uadilifu   na kutawala kwa rushwa ndani ya taifa letu. Alisema vitendo vya ufisadi   vinavyo ...

cwt uongozi mpwapwa

Image
Katibu wa CWT na Mhasibu wa chama hicho Kess Kidifu

WAWEZESHESHAJI WA TASAF WATAKIWA KUSIMAMIA TARATIBU

WAWEZESHAJI   wa wilaya   katika mpango wa TASAF   awamu ya Tatu   wametakiwa   kusimamia   taratibu   na kanuni za mpango huo   ili uweze kuwanufaisha walegwa kama ilivyo kusudiwa na   serikali. Kauli hiyo   ilitolewa na     afisa ufuatiliaji   wa mpango huo wilayani hapa Fraston Anyitike   alikuwa akingea   na wawezeshaji   wa wialaya katika mpango wa malipo   juu ya kuwezesha kaya maskini   katika kipindi cha roya ya   march   -April   2015. Anyitike amesema japo kuwa utaratibu unafahamika   lakini wapo baadhi ya   watendaji wa vijiji wamekuwa wakitumia   fulsa hiyo   kuwaingizia wanachi   michango mbalimbali ambayo haipo katika   mpango   wa   vipaumbele vya   ruzuku hiyo kwa   walegwa. Amesema kuwa ruzuku ya   wanayao pokea walegwa   katika   mpango wa TASAF   awamu ya tatu   imelenga kubore...

VIONGOZI WA CWT MKOA WA DODOMA WAKIWA NA MGENI RASMI

Image

PICHA YA WALIMU MPWAPWA WAKIIMBA WIMO WAO

Image
Walimu wakiimba wimbo wao  wa kuhamasishana  unaojulika kama solidality forever............

C WT YAPATA VIONGOZI WAPYA MPWAPWA.

CHAMA   chama cha walimu   wilayani mpwapwa mkoani DODOMA   kimepata   viongozi   wake wapya   watakao kiongoza chama hicho kwa   muda wa miaka mitano   toka sasa. Viongozi hao waliopatikana kupitia   kuchaguliwa na mkutano mkuu wa chama hicho,   uliofanyika jana katika ukumbi wa   chuo cha walimu mpwapwa mjini hapa . Akifungua   mktano huo mkuu wa wilaya ya mpwapwa   Dr Jasmini Tiisekwa    alisema ni vyema walimu hao wakatumia   haki yao   ya kikatiba,   kuwachagua   viongozi   wao   ambao   wataweza kushirikiana   katika   harakati za kumkomboa   mwalimu na katika kuweza kujiletea maendeleo endelevu. Aidha   Dr, Tiisekwa   aliwaasa viongozi     wa chama cha walimu hao kuweza kusimamia haki na wajibu wa wanachama wao   ili kuweza   kupunguza hali ya kutishia kwa kutoweka kwa amani   hapa nchini   kwa mada...