Posts

Showing posts from 2013

MITANDAO YA KIJAMII NI KIUNGO CHA KUWAKUTANISHA WATU.

Image
Mmiliki wa BLOG Hii akiwa na ndugu yake ambae walikuwa hawakuwahi kuonana  kwa miaka 25.lakini face book na blog imewakutanisha,

UHARIBIFU WA MAZINGIRA UNAVYO SHIKA KASI MPWAPWA

Image
Uharibifu wa mazingira ni  changomoto kubwa katika wilaya ya mpwapwa japo kuwa baadhi ya wahusika wakiwamo wakuu wa idara kuhisika katika uharibifu huo , madiwani, na watendaji wa kata na vijiji,lakini  hili linashikiliwa kidedea na  mkuu wa wilaya ya mpwapwa Chrisopher Kangoye.

ASKARI AKIMUONYA MZEE ANAEENDESHA UVUVI HARAMU KATIKA BWAWA LA MTERA

Image
Uvuvi haramu ni shida kubwa inayao ikkabili bwawa la mtera  huku wahusika wa wilaya hizi yaani mpwapwa na  chamwino wakiwa wanalichulia mzaa

AOKOTWA IKIWA AMEFARIKI KORONGONI

Image
Na noel Stephen Mpwapwa. Mama mmoja aliweza kutambulika kwa jina la Agare Kidumu   (26) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia mtandio wa nguo aliyo kuwa amejifunga   baada kumunguza mumewe kwa maji ya moto na kumunguza sehemu mbalimbali   za mwili Polisi wilayani mpwapwa wamethibitisha   kutokea   kwa tukio hilo na wamedai kuwa wanaendelea na uchunguzi ili kuweza kujua chanzo cha   mama huyo mpaka kujinyonga. Mashuhuda wa tukio hilo   wamedai kuwa   mapaka tukio Agare   linatokea   Agare alikuwa kama amechanaganyikiwa. . Aidha wamesema kuwa   wiki mbili zilizopita   Agare alionyesha dalili za kuchanganyikiwa ambapo alijaribu kutaka kujidhuru kwa kutaka kuchichoma na kisu   tumboni   lakini aliokolewa na   majiarani na alipona hospitalini   ‘inavyo onekana   kuwa huyu marehemu   alikuwa na roho ya ktka kujidhuru mda mrefu maa na amewahi kujaribu kutaka kijidhuru mala tatu lakini al...

ASKARI WA JESHI LA POLISI AKIWA KATIKA KAZI ZA MALUUM KATIKA MILIMA YA LUFU

Image

WAANDISHI WA HABARI WAKIWA KATIKA KAZI ZA UCHUNGUZI JUU YA MAZINGIRA

Image
Mmo wa waandishi wa habari wa ITV  Gerge Mbala akiwa anapumzika baada ya kutembea umbali mrefu  katika milima  LUFU WILAYANI MPWAPWA.

HUDUMA ZA MAJI MPWAPWA TANKI LA MAJI LA HOSPTALINI.

Image

MWENYEKITI AVULIWA MADARAKA KWA TUHUMA ZA KUCHAKACHUA PESA YA KIJIJI MRADI WA MAJI.

Image
Na noel stephen   - Chipogolo mpwapwa Wakazi wa kijiji cha chipogolo   wilayani mpwapwa mkoani Dodoma   wamemvua madaraka   mwenyekiti wao wa kijiji    Wilson Manemo   kwa   tuhuhuma    kununua   Mashine mbovu ya kuvuta maji     kijijini hapo. . Waamuzi huo ulichukuliwa   na wanakijiji hao kufutia mwenye kiti huo kukiuka   makabariano ya wanakijiji   juu ununuzi wa mashine ya desel ya kuvuta maji   kijijini hapo ambapo pamoja na wajumbe wengine wawili walinunua mashine mbovu ambayo haifanyi kazi   kwa gharama tsh 8.500,000/=milioni nane na laki tano fedha za kijiji cha chipogolo. Akiongea na mwanachi kaimu mtendaji wa kijiji hicho    Yona Mganga   alikili wananchi hao kuvua madaraka c mwenyekiti wa kijiji hicho kwa madi ya kutumia vibaya fedha za kijiji chao. Mganga alisema    kufuatia mkutano wa kijiji ulio kaa 17 april mwaka huu   waliamua “kuto...

MNARA WA MASHUJAA ULIOPO MPWAPWA

Image
Sehemu hii ni mnara wa mashujaa wilayani mpwapwa inayotumika kuwaenzi mashujaa wetu walio weza kuikomboa nchi yetu pia ni sehemu moja wapo ya kihistoria wilayani  Mpwapwa ,Picha na Stephen noel

MTI MKUU ULIOPO STEND MPWAPWA ULIOTUMIWANA WAKOLONI ENZI ZA UTAWALA WAO WILYANI MPWAPWA.

Image
W

WAHUKIMIWA KWENDA JELA MIAKA MITATU BAADA KWA KUHARIBU MALI

Image
Na noel stephen mpwapwa. Hakimu mkazi Adrikian Kilimi wa Mahakama ya wilaya   mpwapwa imewahukumu kwenda jela miaka mitatu   bwana Patric Mwidowe,Sehewa Chitema, na Kedmon Chitema wakazi wa kijiji cha kiboroani   wilayani mpwapwa mkoani Dodoma   kwa makosa ya    kuvamia na kuharibu mali   na kuchoma mali za Tasisi   ya utafiti wa mifugo TALIRI . Akieliza mbele mbele ya mahakama   hayo wakili wa serikali   Godfrey Wamabali alidai mahakamani hapo kuwa watuhumiwa   walilifanya kosa hilo December 19,mwaka huu   katika maeneo ya kijiji cha kiboriani wilayani mpwapwa mkoani Dodoma   wakiwa wote kwa pamoja, Kesi hiyo iliyokuwa ikiwa kabili wakazi wa Kijiji cha Kiboriani    kata ya mpwapwamjini wilayani mpwapwa mkoani Dodoma   iiliyowahusisha     wanakijiji wa kijiji hicho hatimae ilifikia   kikomo chake   baada ya   mahakama kuwahukumu washtakiwa kwenda jela miaka mitatu ...

KIJANA WA MIAKA 20 ABAKA MTOTO WA MIAKA 6 PWAGA MPWAPWA

Na noel Stephen mpwapwa     Kijana mmoja   aliye tambulika kwa jina Teophil Nganga(20)mkazi wa kijiji cha Pwaga   wilayani mpwapwa mkoani Dodoma   anashikiliwa na polisi   katika kituo cha polisi   Kibakwe kwa tuhuma za   kutaka kumbaka mtoto wa miaka   7 mwanafunzi wa chekekaea katika shule moja wapo ya kata   hiyo. Tukio hilo limetokea hivi karibuni katika kata ya   Lumuma    wilayani mpwapwa ambapo kijana   Teophil   anadaiwa   kumbaka   mtoto huyo   kwa kumdanganya kwa kutaka kumpa karanga   za kutafuna. Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo na mwanaharakati   wa shirika la AFNET la   kuapmabana na vtendo vya ukatili wa kijinsia   katika kata hiyo Clemenc Ngewe   aliambia   mwananchi kuwa kijana huyo alimwita mtoto huyo kwa madai   ya kutaka kumpa karanga na   ndipo alipo mwingiza ndani ya   chumba chake na kuanza kumbaka. Clemenc al...